Bado unamjambisha tu π
π
π
ππππ nazidi kucheka this man seems to trust them kwa fact kwamba yuko na contacts zao which is necessarly not a deal kama ukimuhada mtu wa official na ukawa huku jf.
kama ulivosema hili jukwaa wako watu wa usalama 24/7, if you release out bads you will be suspected in second just a matter of few seconds you will be under arrested by the officials.
Siasa za bujibuji ziko matatani πππ
π
na hii ni baada ya kusend his own approval documents to Melo and the rest who did this task π
π
Watanzania ni wasahaulifu sana njoo mchome chanjo ya UVIKO 19 mnaenda kuchoma na miwatu ni under 30 Libinti halina hata dalili za kutema mate she is not have even a single kid.