Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,052
- 2,718
Kama unaugopa UKIMWI jizoeshe kutumia Condom zinasaidiaMara ya mwisho kutumia Kondom sijui ilikuwa lini
Asante nimeacha sitaki tena matesoHongera mkuu kwa kuwa salama. Hapo sasa uache tu zinaa hamna namna. Ukiona mwanamke ndio anasisitiza uvue condom au anasisitiza kutokutumia condom vaa boksa yako na nguo zako ondoka kapige punyeto.
Mtu wa kwanza kurespond anaitwa Kitombile.Nakumbuka ilikua mwaka mwezi wa saba nikazini na mdada mmoja hivi ilikua usiku kucha basi bhana kuna muda tulicheza show lkn wazungu hawakutoki demu akasema toa condom nikagoma wote tulikuwa tungi cku ikapita nikasema sinwiti tena.Sasa mwezi wa 10 mwaka c nikamuita tena mihamu ilinizidi akaja usiku kucha tunapiga show tulilewa tena.Demu kama kawaida yake cjui alinipania akaniambia nitoe condom mi na ufala wangu nikatoa tulifanya sex rough mpaka kunakucha asubuh demu akasepa mi sina hili wala lile.Hiyo ilikua ijumaa,jumamosi nikashinda jumapili nikashtuka nikasema jana nimepiga kavu na demu mwenyewe simuelewi Nikaona niwahi hospital kufika pale nikaambiwa PEP hamna hadi jumatatu ili niwahi kabla hayajafika masaa 72 bahati nzuri nikaenda wodin nikapewa PEP .Jumatatu ilipofika nikamtafuta yupe demu nikamwambia aje lengo langu lilikua kumpima bc akaja nikamueleza inabid tupime akakubali ila akawa anasema vipimo vyenyewe vinadanganya lkn akapima .Dah sikuamini macho yangu nilivyompima demu kawaka nilikosa furaha.Ikanibid niendelee na dozi cku yangu ilikua mbaya nikasema napata UKIMWI kirahisi hivi.wiki iliyopita nimepima niko vizuri sirudii tena nimekoma mimi
Madam nipe game basiHongera mkuu kwa kuwa salama. Hapo sasa uache tu zinaa hamna namna. Ukiona mwanamke ndio anasisitiza uvue condom au anasisitiza kutokutumia condom vaa boksa yako na nguo zako ondoka kapige punyeto.
Sawa.Hongera mkuu kwa kuwa salama. Hapo sasa uache tu zinaa hamna namna. Ukiona mwanamke ndio anasisitiza uvue condom au anasisitiza kutokutumia condom vaa boksa yako na nguo zako ondoka kapige punyeto.
Madam nipe game basi
Hana adabu huyo akapige punyetoYaani unaomba papuchi yangu kama vile unaomba pipi ? Wewe piga punyeto tu.
Tunatakiwa tuiombaje Hannah 😋Yaani unaomba papuchi yangu kama vile unaomba pipi ? Wewe piga punyeto tu.
Jamani madam mbona unafanya maisha kuwa magumu hivyo dear madam?Yaani unaomba papuchi yangu kama vile unaomba pipi ? Wewe piga punyeto tu.
Jamani madam mbona unafanya maisha kuwa magumu hivyo dear madam?
Mimi naweza kupata eti 😋Wewe yaani haupati piga nyeto mkuu
Acha uchoyo mpe mwenzio anaomba.Wewe yaani haupati piga nyeto mkuu
Kwamba unamaanisha huogopi STIs?Mara ya mwisho kutumia Kondom sijui ilikuwa lini
Mademu sio wa kuwaamini mara 10 ukapiga shoga au punyeto..
Mademu sio wa kuwaamini mara 10 ukapiga shoga au punyeto..