Umeongea kirahisi sana, wapi huko kupaka kucha rangi ni 10000 na watu wanapanga foleni. Ni kinondoni sehemu gani?






Wewe huwa unapaka kwa shingapi? Na huwa mnapanga foleni eti?
Fursa hiyo
Mimi huwa najipaka mwenyewe jamani!Wewe huwa unapaka kwa shingapi? Na huwa mnapanga foleni eti?
Itabidi nianze kuwa nakupaka mpenzi wangu.Mimi huwa najipaka mwenyewe jamani!