wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Naunga mkono hoja. Na hii sio upande wa mambo ya kisiasa tu bali ni katika mishe zozote zile unazopambana nazo. Jamaa ana inspire sana. Acha kuwa mlegevu kijana, sio kama akina NapeKuweka pembeni siasa. Na itikadi.
Tukiangalia facts. Lissu ni role model.. kwa vijana wote ambao wana struggle kufikia mafanikio.
Ni jinsi gani alibanwa but anafanikiwa kupenyeza kuelekea juu.
Kama kija ukiweza copy strategy zake.. utajikuta unafika mbali.