Vijana tumtafute Ibrahim Traore wa Tanzania tuache woga na kuliallia

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,276
Reaction score
23,568
Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.

Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.

Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.

CCM ni balaa kubwa nchi hii.
 
Kwani kufanya deed lazima uwepo kwenye uongozi ?

Au unamaanisha awepo a Benevolent Dictator ?, Sababu wanasiasa sidhani kama watakufikisha mbali, sanasana kulipo kumpata wa kumuweka pale juu uanze / muanze kwa kuwashinikiza waliopo angalau wa deliver kwa theluthi hata moja

Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.

Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.

Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.
We umeweza🤓
 
Mtoa post, kwanza tumeanza mchakato ndo maana uchawi ulitumika hadi mtu mwenye watoto 2 kwa baba tofauti kuolewa na mubukinabe kwa mahari nyingi, hivo muda wowote tutakuwa na ka ibra ketu, ka traore ketu, kivyetu vyetu.

2. Watanzania hata wakiwepo ma traore mia tano bado ni wajinga..
Kwa sababu wataanza kusema amefunga diplomasia ya uchumi na wakubwa, ni dikteta, hapendi domokrasia nk

HIVO WATANZANIA HAWAJUI WANATAKA NINI...

kila nikijaribu kuwaza tanzania ya mwaka 2050-2060+ kwa vijana hawa wa sasa huwa machozi yananidondoka.
 
Wazungu wanatuona hatuna utu, ni mahayawani fulani hivi yaliyojaa ushenzi. Wanaona tunashindwa kufanya siasa stahimilivu kujibu hoja kwa hoja mwendo ni kutekana na kuumizana halafu wahalifu hawajulikani ni kina nani. Wanaostahili kuwajibishwa ni maafisa usalama wote walioko kwenye eneo lilikotokea tukio anzia na mwenyekiti wa usalama na wajumbe wake wawajibishwe kwa uzembe.
 
Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.

Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.

Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.

CCM ni balaa kubwa nchi hii.
Kuna jamaa alibaki yeye na goli, akabutua.
 
Unaongolea waliopo bongo?
 
Back
Top Bottom