Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

OSBON

Senior Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
148
Reaction score
276
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
biashara za wazawa.jpg
 
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni,je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu View attachment 3425872
Imekaa poa si vijana tuu hata wenye nguvu,watu wazimavtumejipanga vyema!
 
Ni kupambana bila kuchoka na kukaa mbali na vijiwe nongwa!
Huu ndio msingi wa sisi kufika mbali ila kwa hapo ni kutendeneza umasikini zaidi.
Hii falsafa ya kumuondoa aliyekuzidi kwa kudhani wewe utakaa mahala pake imefanikiwa sehemu chache sana. Privileges zingetolewa kwenye mifumo kama leseni, mikopo nk
 
Na wao wanazo serikali zao ambazo sisi ndo tunaenda kujumua bidhaa na kuleta huku...

Sasa, tutanunua kwa bei ya kufidia tuliowatimua huku, kisha baadhi ya bidhaa zibaki kuwa kwaajili ya mafisadi na wezi tu.

Kasha la simu, mpaka linaingia mwenge au popote, ni 2,000; mbongo wa Mwenge anauza 15k, mchina anauza hapo hapo Mwenge kwa sh 2800, unataka mi nimsapoti mmatumbi mwenzangu kisa ni mmatumbi tu...yeye kukupiga 1 kwa 7 aaaha, ni sawa!

Ngoja waamue kutunyoosha!
 
Mkuu huu ukwel hawataki kuambiwa wachina wamefanya tv kushuka thamani Sasa 32inch unapata Kwa laki 2 tu subiri zikirudi tena 350000 akili zitakaa sawa.
 
Mchina alikuwa anatuuzia fimbo za pazia 58,000. Baada ya misukosuko sasa anatoa godown anapeleka duka la jirani ziuziwe hapo, anampa jirani kwa bei ya chini kidogo. Cha ajabu kijana anatuuzia 80,000 tena kwa dharau.
 
Na wao wanazo serikali zao ambazo sisi ndo tunaenda kujumua bidhaa na kuleta huku...

Sasa, tutanunua kwa bei ya kufidia tuliowatimua huku, kisha baadhi ya bidhaa zibaki kuwa kwaajili ya mafisadi na wezi tu.

Kasha la simu, mpaka linaingia mwenge au popote, ni 2,000; mbongo wa Mwenge anauza 15k, mchina anauza hapo hapo Mwenge kwa sh 2800, unataka mi nimsapoti mmatumbi mwenzangu kisa ni mmatumbi tu...yeye kukupiga 1 kwa 7 aaaha, ni sawa!

Ngoja waamue kutunyoosha!
wachina sidhani km wamekatazwa kufanya biashara kinachokatazwa ni mpk viduka vya rejareja mtaani na hapo kwenye bei ndio wafanyabiashara wetu wana fail wanapenda faida kubwa sn wanatamaa
 
Sheria huwa zinatungwa ila wafanya makosa huwa wako pale pale,
Ni kwa sababu ya mifumo mibovu
Siku mtasema Rushwa basi
Ujue hiyo siku ndio itakuwa mwanza wa maisha bora
 
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni,je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu View attachment 3425872

Hizo kazi zilizoainishwa hapo kama kulikuwa na wageni wanafanya basi ni kwa asilimia ndogo sana...
 
sawa hzo hzo ndogo tuzichangamkie km huo usafirishaji wa mazao walikuwa wanakuja kununua mashambani sasa hv haitakiwi kwahyo tufanye sisi hyo biashara tununue mashambani tusafirishe
 
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu View attachment 3425872
Kwamba zimeachiliwa na zilikuwa zimeshikwa na wageni? Si kweli hizi fursa zipo sikuzote na wabongo wengi wanafanya, pia hawa wageni ni ngozi nyeupe tu au hata weusi wenzetu?

Hizi sheria zimekuja baada ya kelele kuhusu wachina wa kariakoo, vipi kuhusu EAC?
 
Sasa ww unaweza ku compete na mchina ?hicho ndio walichokuwa wanalalamika wafanyabiashara mfanyabiashara wa kichina anatakiwa akija tanzania km bidhaa auze jumla sio na yy afungue duka la rejareja
 
Sheria imetungwa kwaajili ya kundi moja zaidi, wachina au wageni wenye ngozi nyeupe, je kuna uwezekano wa kuzuia wageni wenye ngozi kama zetu.
 
Mchina alikuwa anatuuzia fimbo za pazia 58,000. Baada ya misukosuko sasa anatoa godown anapeleka duka la jirani ziuziwe hapo, anampa jirani kwa bei ya chini kidogo. Cha ajabu kijana anatuuzia 80,000 tena kwa dharau.

Na huu ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom