nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,914
Ishi nae tu kama mwana .Sasa mimi hapa huyu manzi nimezaa nae makidi wawili nipeni gear ya kutemana nae niwe huru zaidi.
Mbona povu wewe kima.
Mwanzo mwishoHamna kuoa ni mwendo wa kula tunda kimasihara tu
Ndoa kwa Vijana wa sasa..Wenzetu wana sheria inaitwa "Prenuptial agreement" au prenup. Mnakubaliana kuoana na siku mkiachana kunakuwa hamna mgao wa mali. Tunaviziana sana kwenye ndoa hizi.
Hii ni ya kwako walioowa wanajua nn maaana ya ndoaHabari za usiku.
Ndoa ni utumwa.
Ndoa ni umasikini.
Ndoa ni source ya mafarakano
Ndoa ina leta chuki.
Ndoa ni ubinafsi.
Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
nashukuru mzima wewe sio Mzimu wa KoleloHabari za usiku.
Ndoa ni utumwa.
Ndoa ni umasikini.
Ndoa ni source ya mafarakano
Ndoa ina leta chuki.
Ndoa ni ubinafsi.
Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
🤣🤣🤣🤣 piga matukio hadi akimbieSasa mimi hapa huyu manzi nimezaa nae makidi wawili nipeni gear ya kutemana nae niwe huru zaidi.
Hivi, uko serious kabisa unajisifia kuoa! Man up please.