Vijana tuache huu ujinga

Hiyo picha imenifikirisha mengi,huenda mama/baba zao wanakula bata mjini huko,dooh wazee wapunguziwe mizigo isiyo na ulazima jamani .
Daah baadhi ya mambo Si ya kukurupuka kabisa kuyafanya....... inawezekana wapo huko wanaita sijui dasalama wanabadilisha tu vijiwe Sinza,Tabata,Kinondoni
 
Very productive Advice for the young ones, Children are the future let’s all join Hand to bring bright future for them

It feels Good to be responsible parent
 
Sawa mama ushauri
 
Kuna Washkaji wengine wanaona kama ndio sifa na ndio ujanja au wanasema Ubaharia.

Uanaume ni kutunza na kujali damu yako isiteseke.

Sio kumpa majukumu maza ako au bibi.

Kumbafu wewe.
 
Kuna Washkaji wengine wanaona kama ndio sifa na ndio ujanja au wanasema Ubaharia.

Uanaume ni kutunza na kujali damu yako isiteseke.

Sio kumpa majukumu maza ako au bibi.

Kumbafu wewe.
 
Mkuu hongera sana kwa kulizungumza hili. Kiukweli ni changamoto sana kwa hawa wazee wetu halafu unakuta fara yupo mjini anjiita baharia while hata kutunza watoto shida. Kiujumla boss naunga mkono hoja. Ubarikiwe sana
 
Pamoja boss...!! Tabia inazidi kuota mizizi inaonekana ni kawaida sasa
 
Ndo hivyo wamemuachia bibi aleee

Nilishawahi kugombana na Best yangu kwa sababu ya mtoto,
Yeye na Bwana ake wanakaa Dar mtoto yupo Ileje kwa bibi,Bibi mwenyewe anahitaji kusaidiwa

Namuuliza sababu ya kutokaa na mtoto wanasema watashindwa kutafuta hela,

Nikamuuliza na kama bibi asingekuwepo je ! Anasema angekaa nae !!

Mwisho wamemchukua mtoto hata kiswahili hafahamu!
 
Anajua ugoniree tuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…