Vijana tuache huu ujinga

Kama ambavyo hamuoi singo maza, na mimi singo faza siwataki... Mpambane na mliowazalisha
Acha kupinga maendeleo ww[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini sasa? Hujui single father tunacare?
 
Nasema hivi tusio na watoto hatutaki handicap Kwahiyo singo faza mpambane na hali zenu
Hilo kweli hawachelewi kubebishana tena ukute mzazi mwenzie hajaolewa hapo lazima ujambishwe tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo kutest kama ana uzazi, rafiki yangu aliniambia anataka kutest kama uzazi anao au la!, maana kashapigana za mchangani bila viatu hajashika mimba,
Vipi tayari rafiki yako kashajua kama uzazi upo? Au bado anaendelea kutafuta!
 
Eeeeh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kumbe huwa mnaficha???? Ni kosa kubwa sana tena sanaaaaaaaa
Na ninakushauri ukimpenda mdada mueleze ukweli ajiandae kiakili kuliko kumficha then umwambie ukimuoa my dear huyo mtoto hatompenda hata iweje na wewe utakuwa na mtihani kwa kudanganya
Naanzaje kukwambia na mtt
 
Hilo kweli hawachelewi kubebishana tena ukute mzazi mwenzie hajaolewa hapo lazima ujambishwe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo kutest kama ana uzazi, rafiki yangu aliniambia anataka kutest kama uzazi anao au la!, maana kashapigana za mchangani bila viatu hajashika mimba,
Kwa hyo jamaa yeyote sahivi atakae jichanganya peku kwakwe imekula kwake anakuwa baba bila kupenda?
 
Siyo jambo jema sana,wazazi wamepambana kukufikisha hatua fulani badala ya kuwapumzisha unawapa pia mzigo mwingine,tuwaonee huruma wazazi wetu,kibaya zaidi hata mia hutumi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…