Vijana tuache huu ujinga

ukweli ni kwamba wahusika wanapenda kuwajibika lakini hawapo tayari kwa namna moja au nyingine
 
Sasa huko ndio kutokuwajibika kwenyewe.
Kumbuka kwamba waliyoyafanya wengi walifanya kwa msukumo kutoka nje na sio msukumo kutoka ndani. Na mara nyingi mabadiliko ya kweli yanatakiwa kuletwa na tamaa iwakayo ndani mwa mtu si kutoka kwenye jamii inayomzunguka
 
Mkubwa, unaelewa lakini maana ya kuwajibika?
Wameshikiwa viboko, kisu au mtutu wa bunduki ili kutekeleza hiyo misukumo kutoka nje?

Ok, tufanye umeshatekeleza tamaa kwa msukumo kutoka nje, tumia msukumo kutoka ndani sasa uwajibikie maamuzi yako.
 
Msukumo huo unapeleka masingle mother kuongezeka..
 
Mkubwa, unaelewa lakini maana ya kuwajibika?
Wameshikiwa viboko, kisu au mtutu wa bunduki ili kutekeleza hiyo misukumo kutoka nje?
Ok, tufanye umeshatekeleza tamaa kwa msukumo kutoka nje, tumia msukumo kutoka ndani sasa uwajibikie maamuzi yako.
Ni rahisi kijana kujazwa upepo ili amjaze binti ujauzito.
Si rahisi kijana kujijaza upepo wa kuhudumia familia.
 
Hapo kutest kama ana uzazi, rafiki yangu aliniambia anataka kutest kama uzazi anao au la!, maana kashapigana za mchangani bila viatu hajashika mimba,
 
hii mbona toka enzi na enzi ipo mkuu
 
Ye anatekeleza ilani Tu, fyatuaaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…