Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,550
Ingekuwa inamlipa asingejidhalilisha kusaka teuzi.Bora Pinda analima
Hawa watu nje ya ajira lzm wafe njaa.
Ingekuwa inamlipa asingejidhalilisha kusaka teuzi.Bora Pinda analima
Hizi kauli za kuwataka vijana wajiajiri zimekuwa nyingi mno
Alianza Mizengo Pinda
Ajaja Doto James
Na jana Ndugai.
Wote hawa hawajawahi kujiajiri. Lkn wanawataka vijana wakajiajiri.
V8 moja ni sawa na trekta 10 mpya horse 75 na majembe yake yote trekta moja unalima heka 25 kwa siku.Soko la dunia la mazao lipo tele.Hapa vijana wangapi wamepata ajira.Nini kifanyike mkuu?
Tupe mchongo basi mkuu, mtaani pagumu sana.Mavi-jana ya Tanzania ni ka mataahira vile, wacha yakomeshwe! Jiajirini tafadhari!!
Kwa comment yako nimebaki nimeweka mikono kichwani nasikitika....wanasiasa wetu hawa roho zao hata Ibilisi anawakanaV8 moja ni sawa na trekta 10 mpya horse 75 na majembe yake yote trekta moja unalima heka 25 kwa siku.Soko la dunia la mazao lipo tele.Hapa vijana wangapi wamepata ajira.
Tuendelee kuwalaumu mabeberu juu ya kushindwa kwetu
Hamjamsikia Mh. Supika?Tupe mchongo basi mkuu, mtaani pagumu sana.
Umasikini unaletwa na wanasiasa,coz why wakoloni wao walituletea maendeleo kwa mda mfupi kwa mazingira haya haya ambayo hakuna kilichobadilika kuhusu raslimali zetuKwa comment yako nimebaki nimeweka mikono kichwani nasikitika....wanasiasa wetu hawa roho zao hata Ibilisi anawakana
Basi nitafute jimama linilee
Zile b29CCM wameahidi ajira 8 million .... sijui huyu jamaa wa Apollo amekula maharagwe ya wapi!!?
Uchoyo tuSisi ndio wamiliki hayo majimama unayoyatafuta huku mtaani!