Umeolewa? Au ndo unadanga tuHahahahahaa sikucheki ila nimekumbuka hekaheka za Baba Belinda....
Tumepishana miaka 5, yeye akiwa na miaka 55 mimi nilikuwa na miaka 50.
Tulichukua likizo ya mwezi mmoja, aiseeh tulipampuana siku nzima.
Siri kubwa kati yetu ni mazoezi na lishe bora, Ila pia bado tuna mahaba kila mmoja wetu bado anamhitaji mwenzie kimwili, kihisia na kilakitu.
Achana na madawa ya kuongeza nguvu ni danganya toto hiyo.
Kasie mpenda Mahaba.
Dar hakuna sindiotatizo wa kuwaoa sasa
Kuoa kwangu ni dhambi ambayo siji irudia baada ya kuachana na mke wangu wa ndoa wa ujana wangu, niliomba toba kwa hiyo dhambi ya kuoa na siji rudia tena kumkosea Mungu kwa kuoa. Nalea tu wanangu
Nipe namba ya Belinda .I'm husband material .
😂😂Mkuu katika comment zote we ndio umelenga penyewe. Hili ndio kubwa linalomsumbua mleta mada. Hata ufanye nini, ukishaishi na mwanamke miaka 10+ na watoto wanne umemzalisha, ni ngumu mnoooo kupiga hata kimoja tuu achilia mbali kurudia. We mleta mada ukitaka kujua kama uko fiti au laa, hebu siku moja tafuta kabinti kazuri ka miaka kati ya 20 -23 hivi, kawe maji ya kunde sio keupe, na kashepu ka wastani, yaani kawe na vinyama nyama, kalaini laini hivi.. Jifungie nako mahali siku mbili halafu uje hapa ulete mrejesho..!
Duuuh ha ha ha Haya Comrade Cassie Wa Mikoch,njoo Umjibu...
Wapo ila siwaamini tena, wanapita tu nikiwachokaNani anakutunzia kitwangio ili kisifubae na kupungua makali??
😂😂Majina yangu ya kikazi ni Kasinde Mdangahj
30 mbali sana, cheki kwenye imani za dini zinasemaje!Oa ukiwa na 30
Duuuh Pole Sana Kaka Wasukuma wanaita PTSD....Wapo ila siwaamini tena, wanapita tu nikiwachoka
Hamna, kawaida tu! sioi ili nilee watoto kwanza wakue na sidhani kuoaDuuuh Pole Sana Kaka Wasukuma wanaita PTSD....
Alikuumiza Sanaa...Bado Inakutafuna....Pole Mkubwa!!
Kwa Hyo Umekuwa Chapa Ilale?!
Vp haitawaathiri Kids?!!