mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Unaowaongelea wewe kuwa hawataki ndoa ni mabinti wa 15 mpaka 24... kuanzia hapo wengi wana sonona za kukosa ndoasio kwamba vijana hawataki kuoa ila mabinti wasiotaka kuolewa ni wengi kuliko wanaotaka, trust me mabinti wengi wanaoolewa ni kwa sababu maisha yamewaendea kombo au kutafuta unafuu wa maisha, ni wachache ambao wameolewa kwa utayari wao wa kuwa ndani ya ndoa
😂😂#kataandoa
Huo utafiti umeufanya lini mkuu?Unaowaongelea wewe kuwa hawataki ndoa ni mabinti wa 15 mpaka 24... kuanzia hapo wengi wana sonona za kukosa ndoa
Mkluu hata wewe?Kataa ndoa
ndoa Ni hatari Sana kwa Afya ya Akili
Kila siku ninapopata wasaaHuo utafiti umeufanya lini mkuu?
Hiyo ndo slogan mpya kataa ndoa tunza Afya ya Akili.Mkluu hata wewe?