Vijana ndani ya UKAWA tufanye nini kuunga mkono viongozi wetu?

Tabu ni moja hamko tayari na gamjui kuwa wapinzani.

Suburini 2020 mtaona viti mtakavyopata kwenye kura vitakuwa vile vya kufutia machozibkwa huruma ya wananchi...

Na kihivi kuandikiaba mitandaoni na hamjuani eeeeh... imetoka hiyooooo

Haya uliyoyaandika ulikuwa umekalia kitu chenye ncha Kali nini ?? Mbona umeandika maruhani
 
Mkuu huu uzi wako una mashiko sana sema kuna solution mbili tatu tu tu mfano

1.kukubaliana na hali kwamba udikteta upo and hatuwezi fanya chochote kuumaliza hivyo KUUNGANA na dikteta kwa kumuunga mkono kwenye sera zake zoteeeee mfano viwanda, kubana matumizi n.k ili hata mtesaji aone mko boti moja hivyo atalegeza kamba especially akiona mmechukua sera zake afu mkawa mnazitekeleza vzuri hata zaidi yake!!!!

2. Option ya pili ndio kutumia nguvu ya mabavu yaani liwalo na liwe kwa kutumia extreme measures kma maandamano yasiyokoma..... sabotage...... kuhujumu miundombinu n.k au kushika mitutu kabisa kma walivyofanya drc,cuba na angola etc

3. Ni kuamua kukaa kimya tu na mfanye wanavyotaka basi afu 2020 mfutwe rasmi kwenye ramani ya siasa

Huzo ndio solution 3 ila kwangu mmi nashauri tuanze na hiyo ya kwanza ila hii itokee kwa kubadilisha uongozi wote wa juu ili tujenge impression ya kuwa upinzani upya umezaliwa ambao unasupport sera zote za serikali ila inatekeleza kwa ubunifu zaidi bila hta kumpinga wala kuhitaji press conference kupambana naye mbona ataomba poo tu ndugu just imagine mbowe aseme chadema inabana matumizi kwa kuamua ruzuku yote ielekezwe kusaidia tatizo la maji vijijini au imagine lema anaunga mkono sera ya viwanda kwa kusaka wawekezaji nje na ndani by 2020 arusha mjini pawe na viwanda vikubwa na vidogo kma 20 hivi unafkiri magufuli hatanyooka if at all anawabana??? Ataona aibu maana ataonekana anapinga maendeleo

Cjui naeleweka........
Hayo ni mawazo yako!! Lakini kwa lile la kwanza na la tatu demokrasia nchini itakufa!
 
Umewaza mbali sana,japo mm namuunga mkono sizonje ila wazo lako la kwanza ndio pale pale kwamba nafanya vzur ili ufurah halaf utakosa la kunikemea nalo,napambana na ww ukiwa unaniamini
 
Demokrasia ya kuropoka inasaidia nini wananchi wa kawaida zaidi ya kiki za siasa tu, tangazo maandamano kisa Tz hakuna demokrasia uone wananchi wangapi watakufuata, kwa ufupi mmekosa hoja na maono.
Si tuliita UKUTA mkakimbilia kuzuia eti uvunjifu wa amani sasa mngeruhusu si mngeona nyomi lake tena mikoa yote walahi lazma mngetia adabu......mnachotakiwa kujua almost nusu ya wapiga kura walipigia upinzani yaani wale milion 6 waliotajwa na NEC wakiingia barabarani plus wale ambao hawakupiga kura au hawajaandikishwa ila wansupport mabadiliko huoni wangefunga miji yote Tanzania ndio muone nguvu ya upinzani

Acheni dharau nyie wenyewe mnajua hta mwenyekiti wa tawi wa chadema akiitisha mkutano lazma watu wajae na wwe unalifaham hilo ssa unajitia moyo wa nni?? Kma hatutopata watu sasa mnazia wa nni??? Demokrasua haijalishu mtu aropoke ama nni haki ni haki kma mnaona vyama havina maana mkavifute kisheria sio sheria inasema mikutano ni haki ya chama afu nyie mnasema hapana izuiwe wakati maccm yanafanya

Hivi mnawazaga nni nyie watetezi wa lumumba
 
Huwezi kuanzisha uzi kama huyu peupe hivi ambapo na wa kijani watesi wetu wanachangia, tunahitaji group tofauti ambalo Watu wataingia kwenye group baada ya kuwa screened! Njia moja Nzuri ya ushindi lazima iwe suprise kwa adui!
 
Wazo zuri
How do we do that?
 
Hayo ni mawazo yako!! Lakini kwa lile la kwanza na la tatu demokrasia nchini itakufa!
Najua mkuu itaua demokrasia ila ni muhim tuweke realistic options ili wanaoamua kuchukua mojawapo waelewe mwishoni watapata nni...... the choice is ours maana kwa uamuzi wowote ule tutakaouchukua tujue tuna miaka mitatu tu maana tukichelewa kidogo 2020 kuna uwezekano hta uchaguzi ukafutwa au kamoeni zikafutwa so muda wa ku-act ni sasa whether kwa amani au kwa mbwinde ila tukizunguka popote pale ila solution ni hizo tatu tu kma hataki tubugudhiwe na dola

Ahsante
 
Naomba viongozi ndani ya UKAWA, wanaharakati, wanachama na wapenda demokrasia wote tutoe mawazo ili kuwa na uelewa na juhudi za pamoja juu ya nini tufanye kusaidia nchi yetu.

Kama kila mmoja wetu anavyojua kuwa sasa hali ni mbaya,watetezi wetu wanaumia. Kila anayejaribu kusema jambo basi anaishia sero.

Tumetahadharishwa kuwa mikakati ya kumpeleka mzee Lowassa mahakamani na hatimaye jela imeshakamilika.

Sio Ben Saanane wala sio Lema.
Sio Dkt. Mashinji wala sio Lissu.
Wala sio Halima mdee au nani!
Nasasa sio Mbowe wala Lowassa. Kama mchezo hivi, viongozi wetu au wanapotea au wanaishia jela.

Nasema kama lazima demokrasia ife nchi hii basi naife.
Kama vyama vya upinzani lazima vipotee basi na vipotee.
If we must go down, then, let it be but not without a fight.

Mimi ni moja ya vijana ndani ya UKAWA ninayeamini chochote tunacholazimika kufanya basi tukifanye kwa mtazamo wa pamoja.
A unified approach!
Naamini vijana ndani ya UKAWA tunaweza kufanya mengi kutuma ujumbe kwa watesi wetu kuwa tumechoka.

Kuna approach mbalimbali za struggle ya demokrasia ambazo zimefanyika nchi mbalimbali ulimwenguni pote kwa mafanikio.
Je, sisi hapa Tanzania tufanye nini?
Nifanye nini kulinda demokrasia ya nchi yangu?
Nifanye nini katiba ya nchi yangu iheshimike?
Nifanye nini kulinda utu wa mtu?
Nifanye nini ili viongozi wangu wasionewe?

Niambie na niko tayari!
How can I be of help in this struggle?
Tuanze na mageuzi ndani ya chama, mbowe ameshatoa mchango wake inatosha, Lissu achukue uongozi wa chama kwa maandalizi ya kuwa raisi wa Tz 2020.
Umuhimu wake uko hv;
1. Tutamnadi km mwanamageuzi halisi na amekuwa consistent all along
2. Hajawahi kuwa sehemu ya uwizi na ufisadi ktk nchi hii
3. Anatoka kanda ya kati kuua ccm propaganda za kanda ya north
4. Ana uwezo mkubwa wa kujieleza na shule yakutosha

Naelewa nchi ina wajinga wengi ila nafikiri kwa Tundu Lissu watatuelewa. Wasipotuelewa turudi wote ccm na wakituelewa jamaa wakacheza fault hapo ndo mahali pakuita nguvu iwe ya umma au kundi na hapa ndo anapofaa sana Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli mimi huwa sipendi kulialia halafu kama bado kuna kitu naweza kufanya.
Kwanini watu hawaact?
Mbowe chukua hatua!
 
Back
Top Bottom