Vijana ndani ya UKAWA tufanye nini kuunga mkono viongozi wetu?

Cjui naeleweka........
Response yako ina pande mbili
1. Active resistance
2. Pasive resistance

Sidhani kama Pasive resistance itafanya kazi.
Na hiyo active needs to be organized. Kuwe na mkakati, champions na resources. This is where we need calm heads.[/QUOTE]
Yeah naelewa ndio maana nikasema mpango huo uhusishe mabadiliko ya uongozi na kurugenzi zote za chama tujaze wataalam na sura mpya ili zije na mawazo mapya kwa ajili ya kubadilisha mfumo tunaoutumia kutafuta haki dhidi ya watawala.

Ila maandamano cjui kma yatasaidia zaidi itaendeleza vita tu na uhasama ila tukipambana kisomi zaidi kwa kukubaliana na mtawala kwa kila kitu ili atuvute karibu tummalize kwa sera zake mwenyewe ndio suluhisho lililobaki ukizingatia uchaguzi mwingine ni miaka 2 tu baadae
 
Tulpofkia nchi hii n hofu na giza nene lmetanda, na hakuna ktu kbaya km kunyamazia udikteta, ulzeni nchi znazotawaliwa kdkteta watawambieni, mimi nazani ni muda sasa viongozi wa dini wainglie kat hili swala, haiwezekani ccm kla sku wanafanya siasa mchana kweupe mfano mzur ni pale juzi alpokua sengerema raisi et ziara ya kkaz, jaman embu tuseme ukwel wa mungu pale c siasa tu iltamaraki ad yule jamaa wa chadema akarudsha kad? Kjan klkua kmejaa pale alafu wengne noo kufanya hvo, hii sio haki mimi nazani sasa viongoz wa dn waache unafk na walpgie kelele maaana tukkaa kmya bla kumwambia unakosea, udkteta huu unaenda kukomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Response yako ina pande mbili
1. Active resistance
2. Pasive resistance

Sidhani kama Pasive resistance itafanya kazi.
Na hiyo active needs to be organized. Kuwe na mkakati, champions na resources. This is where we need calm heads.
Yeah naelewa ndio maana nikasema mpango huo uhusishe mabadiliko ya uongozi na kurugenzi zote za chama tujaze wataalam na sura mpya ili zije na mawazo mapya kwa ajili ya kubadilisha mfumo tunaoutumia kutafuta haki dhidi ya watawala.

Ila maandamano cjui kma yatasaidia zaidi itaendeleza vita tu na uhasama ila tukipambana kisomi zaidi kwa kukubaliana na mtawala kwa kila kitu ili atuvute karibu tummalize kwa sera zake mwenyewe ndio suluhisho lililobaki ukizingatia uchaguzi mwingine ni miaka 2 tu baadae[/QUOTE]
Noooo!
We make a move now as men or we keep quite forever!
Naelewa watanzania wengi hawajawa kwenye kashkash ya kupigwa na kuumizwa ila nakuhakikishia mwili unaweza kutake hiyo impact.

It's a dangerous game yes, but a game of men .
 
Yeah naelewa ndio maana nikasema mpango huo uhusishe mabadiliko ya uongozi na kurugenzi zote za chama tujaze wataalam na sura mpya ili zije na mawazo mapya kwa ajili ya kubadilisha mfumo tunaoutumia kutafuta haki dhidi ya watawala.

Ila maandamano cjui kma yatasaidia zaidi itaendeleza vita tu na uhasama ila tukipambana kisomi zaidi kwa kukubaliana na mtawala kwa kila kitu ili atuvute karibu tummalize kwa sera zake mwenyewe ndio suluhisho lililobaki ukizingatia uchaguzi mwingine ni miaka 2 tu baadae
Noooo!
We make a move now as men or we keep quite forever!
Naelewa watanzania wengi hawajawa kwenye kashkash ya kupigwa na kuumizwa ila nakuhakikishia mwili unaweza kutake hiyo impact.

It's a dangerous game yes, but a game of men .[/QUOTE]
Yeah mkuu lakini wa kuongoza hyo movement ni hawa wanadiplomasia kina mashinji na mbowe na lowassa???? Unless useme iundwe kamati tofauti iongozwe na watu wa mbwai mbwai kma heche,upendo,waitara,lema,lisu n.k ila kwa waliopo sioni hilo la active resistance likitokea
 
Noooo!
We make a move now as men or we keep quite forever!
Naelewa watanzania wengi hawajawa kwenye kashkash ya kupigwa na kuumizwa ila nakuhakikishia mwili unaweza kutake hiyo impact.

It's a dangerous game yes, but a game of men .
Yeah mkuu lakini wa kuongoza hyo movement ni hawa wanadiplomasia kina mashinji na mbowe na lowassa???? Unless useme iundwe kamati tofauti iongozwe na watu wa mbwai mbwai kma heche,upendo,waitara,lema,lisu n.k ila kwa waliopo sioni hilo la active resistance likitokea[/QUOTE]
Ndio wakae sasa kina Mbowe watoe maamuzi ya kichama.
Kuwe na mgawanyo wa majukumu alafu kazi ianze.

Mfano.
Kuwe na watu watakaoshughulukia mawasiliano na mataifa makubwa.
Watu watakaofungua kesi ICC
Watu watagaopanga maandamano kwa watu wenye umri mkubwa na wanawake.
Watu watakaoorganize vijana kwaajili ya vitendo!
 
kwanza jiulizeni bado mko vlilevile kama mlivyokuwa mkizungusha mikono.
Basi mkijirizisha ingieni barabarani maana ninyi ndiyo mnaejuwa serikali ni dhaifu au ngumu.
na mkisha pigwa sasaivi dawa bure.

Si mlisema hatuna Ndege. Ndege hizo
" reli imekufa sasa inafufuliwa
" nchi inamafisadi sasa hivi wanatumia ndoo
" nchi imeoza sasa inasafiswa
" elimu imekufa sasa inafufuliwa
" serikali zaifu sasa hii ngumu
" nchi imejaa rushwa sasa tunashuhudia rushwa inazidi kupungua.
tuacheni tuone maajabu haya ambayo ukonyuma mlifanya kama kiki sasa yapo ktk implimentesheni.
Na ni maombi yangu na duwa muingie barabarani hili tuone hii sinema kt ya polisi na waamiaji ambao huko nyuma tulifikiri ni watanzania ntakavyo chapwa kichapo cha mbwa.
Magufuli pipoziiiiiiiiiiiiiiii pawaaaaaaa!
 
The climax point is coming...we dont need this to happen..we need love peace and respect..lets love each other respect human diginity..Tz togher has one
 
kwanza jiulizeni bado mko vlilevile kama mlivyokuwa mkizungusha mikono.
Basi mkijirizisha ingieni barabarani maana ninyi ndiyo mnaejuwa serikali ni dhaifu au ngumu.
na mkisha pigwa sasaivi dawa bure.

Si mlisema hatuna Ndege. Ndege hizo
" reli imekufa sasa inafufuliwa
" nchi inamafisadi sasa hivi wanatumia ndoo
" nchi imeoza sasa inasafiswa
" elimu imekufa sasa inafufuliwa
" serikali zaifu sasa hii ngumu
" nchi imejaa rushwa sasa tunashuhudia rushwa inazidi kupungua.
tuacheni tuone maajabu haya ambayo ukonyuma mlifanya kama kiki sasa yapo ktk implimentesheni.
Na ni maombi yangu na duwa muingie barabarani hili tuone hii sinema kt ya polisi na waamiaji ambao huko nyuma tulifikiri ni watanzania ntakavyo chapwa kichapo cha mbwa.
Magufuli pipoziiiiiiiiiiiiiiii pawaaaaaaa!
Hivi kwanni kila tunapodai uhuru wa kisiasa mnaleta mafanikio ya serikalo ya awamu ya tano??? Kwahyo ina maana siku Tanzania tukiwa na maendeleo kma marekani basi upinzani ufutwe rasmi ama????

Hta kma magufuli angejenga airport mikoa yote je ana haki ya kuminya demokrasia mjibu hii hoja maana kila mtu ooh chadema mafisadi ooh cjui magufuli kajenga nchi!!!! Huku swali la msingi la udikteta na kuminywa kwa demokrasia hamjibu

Mnakera sana
 
Hivi ukawa bado IPO?
Ipo ndio maana polisi na mwenyekiti wa maccm wanahangaika nayo....... kma ingekuwa imekufa sidhani hata wangebother kutufatilia fuatilia maana wanajua tukico-exist ccm itafutwa rasmi bara na visiwani
 
Tabu ni moja hamko tayari na gamjui kuwa wapinzani.

Suburini 2020 mtaona viti mtakavyopata kwenye kura vitakuwa vile vya kufutia machozibkwa huruma ya wananchi...

Na kihivi kuandikiaba mitandaoni na hamjuani eeeeh... imetoka hiyooooo
Kazana upate vitu maalum CCM. Juhudi zinaonekana.
 
Hivi kwanni kila tunapodai uhuru wa kisiasa mnaleta mafanikio ya serikalo ya awamu ya tano??? Kwahyo ina maana siku Tanzania tukiwa na maendeleo kma marekani basi upinzani ufutwe rasmi ama????

Hta kma magufuli angejenga airport mikoa yote je ana haki ya kuminya demokrasia mjibu hii hoja maana kila mtu ooh chadema mafisadi ooh cjui magufuli kajenga nchi!!!! Huku swali la msingi la udikteta na kuminywa kwa demokrasia hamjibu

Mnakera sana
Demokrasia ya kuropoka inasaidia nini wananchi wa kawaida zaidi ya kiki za siasa tu, tangazo maandamano kisa Tz hakuna demokrasia uone wananchi wangapi watakufuata, kwa ufupi mmekosa hoja na maono.
 
Naomba viongozi ndani ya Ukawa, wanaharakati, wanachama na wapenda demokrasia wote tutoe mawazo ili kuwa na uelewa na juhudi za pamoja juu ya nini tufanye kusaidia nchi yetu!

Kama kila mmoja wetu anavyojua kuwa sasa hali ni mbaya,watetezi wetu wanaumia. Kila anayejaribu kusema jambo basi anaishia sero.
Tumetahadharishwa kuwa mikakati ya kumpeleka mzee Lowasa mahakamani na hatimaye jela imeshakamilika.

Sio Ben Saanane wala sio Lema.
Sio Dkt. Mashinji wala sio Lissu.
Wala sio Halima mdee au nani!!
Nasasa sio Mbowe wala Lowasa. Kama mchezo hivi, viongozi wetu au wanapotea au wanaishia jela.

Nasema kama lazima demokrasia ife nchi hii basi naife.
Kama vyama vya upinzani lazima vipotee basi na vipotee.
If we must go down, then, let it be but not without a fight!

Mimi ni moja ya vijana ndani ya Ukawa ninayeamini chochote tunacholazimika kufanya basi tukifanye kwa mtazamo wa pamoja.
A unified approach!
Naamini vijana ndani ya Ukawa tunaweza kufanya mengi kutuma ujumbe kwa watesi wetu kuwa tumechoka.

Kuna approach mbalimbali za struggle ya demokrasia ambazo zimefanyika nchi mbalimbali ulimwenguni pote kwa mafanikio.
Je, sisi hapa Tanzania tufanye nini?
Nifanye nini kulinda demokrasia ya nchi yangu?
Nifanye nini katiba ya nchi yangu iheshimike?
Nifanye nini kulinda utu wa mtu?
Nifanye nini ili viongozi wangu wasionewe?

Niambie na niko tayari!
How can I be of help in this struggle?
Mimi ni mpinzani wenu ila bila upinzani nchi utaingia gizani kwa hiyo upinzani ni wa muhimu. Ushauri wangu nikiwa kama kijana mwenzenu kuna ushauri uliotolewa na Mku mmoja Jina nimelisahau yaani ni hivi Chadema kianzishe TV yake. Ikiwezekana itisheni harambee hii fedha inapatikana .Kama kuna mtu wa chama chenu yupo humu apeleke hili wazo ktk kamati Kuu lifanyiwe kazi ili litoke na maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom