Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

(kujiajiri ) huo mziki ni balaa wengi Huwa wanalishana matango pori tu wakidhani kuwa kujiajiri ni kazi rahisi ..yaani hakuna issue yenye challenge kama hiyo kwanza itakupasa wakati unaanzisha biaaharayalo au kampuni yako uipiganie mpaka ikue ..mpaka ifikie hatua ya kujiendesha yenyewe na kuyaendesha maisha yako aisee ni kazi kubwa sana you need to pull Up your socks.. Yaani yakupasa ujiandae kuvuja machozi jasho na damu ..uinvest vyema haswaa katika muda ..na ujiandae kuwa unakosa usingizi kwaajili ya stress ndio utakuja kuyapata mafanikio na kuitwa boss
Well hivyo vyote hutoviona kama unapenda unachokifanya.
 
Back
Top Bottom