Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Vijana tafuteni shughuli za kufanya msidanganyike na Wanasiasa UCHWARA wanaowaponza muandamane ili mvunjwe miguu wenyewe wamestarehe nyumbani kwao. Waambieni watangulie wao wenyewe ninyi mfuate nyuma. Wao nao wapigike kisawasawa kama wana uwezo kweli wa kupambana na dola!
Bora fugeni kuku, kulima bustani au biashara ndogo ndogo. Pia Jiungeni na SACCOS ili mpate mikopo ya kuendeleza biashara zenu!!
NI USHAURI WA BURE KABISA ILA ANAYEJIONA ANA UBAVU WA KUCHEZEA DOLA SHAURI YAKE!