Vijana mnaotafuta wake nendeni Jumapili kwa Mwamposa, wamejazana nyomi!

Wote hao ni misukule yenye kazi maalum.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Utakuja kubeba mke mwenye itikadi za hovyo na utayajutia Maisha yako, utakuja kubeba mke mgonjwa aliyeshindikana amekuja kutoa ushuhuda wa uongo kuwa amepona
Hili la ushuhuda wa uongo linakuwa kwa kasi sana siku hizi.
 
Shida sio kuoa au kutafuta ma binti, tatizo je mtaendana na tabia maana apo ndo kuna shida anaweza akawa na nyumba, magari na mengineyo ila tabia ikoje au usikute anamikosi alafu unaingia tu kichwa kichwa
 
Kwa wengi wa mabinti wanaokwenda huko ni reject personality au Misfits wa kwenye mahusiano. Wanajua mapungufu yao sasa hawapo tayari kuyabadili ila waporadhi kwenda kulia lia kanisani wakifanya maombi na kulilia muujiza wa kuonekena kwa wanaume na kuolewa ila in actually sense hapo ni time bomb
inasubiria muda ufike kulipuka.

Hawa ndio mabinti ambao wanataka ndoa halafu wakishaipata wanaanza kuleta vimbwanga. Wao wanaamini kukosea ni sawa ila sio kujizingatia na kusimamia misingi ya maadili.

Unapokaa na mwanamke wa namna hii kila siku unakuwa na mtihani wa kumrekebisha, kumkemea kila siku.
 
Mwamp###sa 😐😐😶 Kila nikiwaza ibada ya lile kanisa. Na hao mabinti wanaotafuta wanaume wa ndoa. Nachoka.
Awape semina tu. Asiwaombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…