Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Futilia mbaliiiiMessage hizi huwa ma delete juu kwa juu.
Futilia mbaliiiiMessage hizi huwa ma delete juu kwa juu.
Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Mkuu naomba kaziAlikuja akanikuta nina project ya kuandaa data base nikampa kazi code hapo ndipo nilichokaa hajui hata
We acha tuu,.Yaani huo ndiyo uandishi wao hadi unajiuliza huyu mtu anatania au?
Was the job computer science related?Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Jamaa hajui kuwa mtu akiwa jobless na mambo yake huwa hovyo hovyo tu..muwe mnawavumilia tu, hizo ni stress za kuwa jobless na kukata tamaa ya kupata kazi
Acha kutusingiziaa buana mbona tunaandika vizuri tu mother
Chamuimu kuelewanaa
Mazeri wa cku hiz wanoko sana au siyo chama languAcha kutusingiziaa buana mbona tunaandika vizuri tu mother
Chamuimu kuelewanaa
😀😀😀😀😀 sawa blooTunatamani sana ila wanakatisha tamaa mkuu
Mother Confessor.. Daaah!! Haujadanganya. Watu tuna wadogo zetu University graduates.. Unakuta maneno kama uxafil "usafiri", uncle nirikuwa tu nakuxarimia, nitajilekebisha, kuangaria, leading "reading".... mtu unaona aibu kuwaunganisha na maboss cz this is a very close reflection of their understanding and attitude which is a true reflection of their performances.Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Bloo ahahahahahahHii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Kiswahili fasaha kwani tunaandika vitabu apaBuana...!!
Chamuimu..!!
Hivi ndio unasingiziwa..?
Dah wanazingua kinyama kisa kiswahili hatujui kuandikaaMazeri wa cku hiz wanoko sana au siyo chama langu
Kwenu wasomi wa Kiingereza.. unaandikaje "leading" badala ya "reading"? CV inasomeka fluent in both leading, writting and speaking..Kiswahili fasaha kwani tunaandika vitabu apa
Mchukue mtu uone ana material gani sio kukosoa uandishii
Wengine tumesoma mavitu hata kwa kiswahili hayatafsiriki alaf unataka niandike kiswahili fasaha kwani ni fasihi andishi hii