HahahahahMkubwa unajaribu ku justify uamuzi wako wa kutokuoa?
Tena wivu wa kike kabisa huuni wivu tu
yaan mchizi mwenzio atafute confort kwako!hakuna wivu , tatizo usumbufu wa kutafuta confort kwa masela na kuharibiana ratiba
Siyo hao tu mie nakazia na wale dear ex waliotuacha kwa mbwembwe sahii eti wanapiga simu japo waskie sauti maana wametumiss,