Vijana mliooa mapema mnasumbua sana

Vijana mliooa mapema mnasumbua sana

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,481
Reaction score
3,552
Miezi ya mwanzo kabla ya ndoa huwa mnajifanya mko busy na hampatikani kua mnamajukumu ya familia na sababu kama hizo. Baada ya muda mnaanza kusumbua hamtulii nyumbani kwenu mnatulazimisha kupiga story hata zisizo na msingi ili mpitishe muda wa kwenda kwenu.

Mtulie huko huko
 
Halafu wanakuwa na mbwembwe nyingi sana siku ya harusi yao,full picha za mahaba na uzungu mwingi baada ya muda wanaanza usumbufu
 
Mkubwa unajaribu ku justify uamuzi wako wa kutokuoa?
 
Alivyopita tu nikamshika nikambaka!..
Wala hata hakupiga kelele!
Nilivyomaliza akaniambia kauli ambayo sikuielewa mpaka leo! Akasema ati nimejitahidi lkn ARV zinanihusu..!!

Kutafuta mtandaoni nikajua ARV ni Arrival!.. nikajua kuwa labda nilimpa mimba! Hivyo nikasubiri huyo mtoto a arrival lkn mwezi wa tatu sasa hajavimba tumbo!!.

Sielewi hii nini hii..????
 
Ukiona hivo, uje wameshakuchukulia Kama kijiwe chao Cha story. Yaani, huna zaidi ya kuwa sehemu ya matumizi ya muda wao wa ziada.
 
hakuna wivu , tatizo usumbufu wa kutafuta confort kwa masela na kuharibiana ratiba
yaan mchizi mwenzio atafute confort kwako!
na kama anakuharibia ratiba zako we mpange tu kuwa unamishe zako.
wanaume hatupo hivyo mvulana wewe
 
Back
Top Bottom