PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
duh safi sana
Usione huyo mzee kashikilia ndizi ukahis kilimo kinalipa,
ni mfumo tu mbaya lakini kama mfumo ungekuwa uko vizuri hapa burdanUsione huyo mzee kashikilia ndizi ukahis kilimo kinalipa,
Ukijua bei anayouza huko shambani, huwezi kutamani kuwa mkulima,
Bora huo mtaji uutumie kukusanya mazao na kuuza
Tuna tatizo la sera zinazokosa utashi wa kisiasa katika utekelezaji wake kwa hiyo zinabaki kwenye makabrasha baada ya ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma, mifano mikubwa na mibaya ni Siasa ni kilimo, Kilimo kwanza iliyoishia kununua ma V8 na Big results now iliyopelekea watumishi kuwa wakwapuaji badala ya wazalishaji! Kuwekeza kwenye kilimo hapa Tanzania ni barabara nzuri na fupi kuelekea kwenye kufilisika, angalia wakulima wa nyanya na matunda mwaka huu, mazao yanatupiwa ng'ombe kama malisho, hakuna soko!Kwasababu ya mfumo mzima wa uchumi, ulaya mkulima ni tajiri, ana contract na supermarket wanakuja kuchukua maziwa, mboga na matunda kutoka shambani. Mkulima ana miliki matrekta, mashine za kukamulia maziwa, mashine za kuvunia mboga kama vitunguu na karoti, vyote hivi anaweza kukopeshwa na kulipa kidogo kidogo.
Mfumo wetu wa uchumi haujamjenga mkulima kuendelea, mkulima ni mtu wa kutaabika, unalima mazao hakuna soko. Ndiyo maana vijana hawaangalii kilimo kama fursa.
Ni kweli kabisaKwasababu ya mfumo mzima wa uchumi, ulaya mkulima ni tajiri, ana contract na supermarket wanakuja kuchukua maziwa, mboga na matunda kutoka shambani. Mkulima ana miliki matrekta, mashine za kukamulia maziwa, mashine za kuvunia mboga kama vitunguu na karoti, vyote hivi anaweza kukopeshwa na kulipa kidogo kidogo.
Mfumo wetu wa uchumi haujamjenga mkulima kuendelea, mkulima ni mtu wa kutaabika, unalima mazao hakuna soko. Ndiyo maana vijana hawaangalii kilimo kama fursa.
Kabisa mkuu...wakati sehemu zingine duniani kwa watu huko chana moja inauzwa mpaka elfu 13~14 ya kibongo.hapo mkungu mmoja 4,000-5,000 Tsh
You are very right...ukitembelea nchi za watu ukaona jinsi wanavyolima hadi unasikia raha..na it pays themKwasababu ya mfumo mzima wa uchumi, ulaya mkulima ni tajiri, ana contract na supermarket wanakuja kuchukua maziwa, mboga na matunda kutoka shambani. Mkulima ana miliki matrekta, mashine za kukamulia maziwa, mashine za kuvunia mboga kama vitunguu na karoti, vyote hivi anaweza kukopeshwa na kulipa kidogo kidogo.
Mfumo wetu wa uchumi haujamjenga mkulima kuendelea, mkulima ni mtu wa kutaabika, unalima mazao hakuna soko. Ndiyo maana vijana hawaangalii kilimo kama fursa.
Wakati supermarket watu wananunua nyanya za kopo kutoka South Africa, supermarkets zenyewe hazijakikita kuwekeza kwa wakulima, ni planning tu jinsi ya kupata mazao fresh kutoka kwa mkulima kumfika mlaji ndani ya masaa 24.Tuna tatizo la sera zinazokosa utashi wa kisiasa katika utekelezaji wake kwa hiyo zinabaki kwenye makabrasha baada ya ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma, mifano mikubwa na mibaya ni Siasa ni kilimo, Kilimo kwanza iliyoishia kununua ma V8 na Big results now iliyopelekea watumishi kuwa wakwapuaji badala ya wazalishaji! Kuwekeza kwenye kilimo hapa Tanzania ni barabara nzuri na fupi kuelekea kwenye kufilisika, angalia wakulima wa nyanya na matunda mwaka huu, mazao yanatupiwa ng'ombe kama malisho, hakuna soko!
Unafikiri nyang'au ataleta biashara yake bongo ili akunufaishe wewe? Wale ni makabaila, hata bamia unalonunua supermarket limetoka Nakuru.Unalima kwa nguvu unauza kwa nguvu, sitaki ujinga. Yaani haya masupermakert ya nakumati na uchumi mpaka mchicha wanatolea Kenya... Unadhani kilimo kitamlipa mkulima Mdogo Kama Mimi.
Sina hAmu nao. Na wala hawafikirii garama ya kusafirisha hayo mabamia kutoka Kenya mpaka Dar. Very stupid.... Ni lazima serikali iweke sheria ya kusimamia mambo Kama haya ili iwe tija kwa wakulima. Miaka ya 2007/8 Nakumati Kenya walikataa kununua mboga za wakulima wao kilichowakuta hawakuamini. Wakulima walipanga mboga na matunda nje ya supermarket biashara ikawa ngumu ndani ya mall. Ikabidi walegee,.... Na hicho ndo tunachotakiwa kwenda kuwafanyia hawa mabwege humu ndani.Unafikiri nyang'au ataleta biashara yake bongo ili akunufaishe wewe? Wale ni makabaila, hata bamia unalonunua supermarket limetoka Nakuru.