Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,678
Reaction score
129,264
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
 
1765272273863.png

Tuwekee na ramani za hizo nyumba sasa.
 
Ndio inalipa lakini sio kama unavyoipamba,otherwise nyumba iwe mjini kati ,
Lodge inalipa zaidi,
Mapato niliyokuwa napata kwa kupangisha kawaida kwa mwezi Sasa naingiza ndani ya week .(Laki 6 kwa mwezi ,lodge laki kwa siku lakini ni baada ya marekebisho kidogo na kununua furniture)
Location Dodoma .

Najua ni excitement za kuanza kuitwa baba mwenye nyumba lakini baada ya muda utaona ni biashara Iko slow sana kama kijana utawaza tofauti tu lazima.
 
Back
Top Bottom