Ni kweli haukuwapo na ndio maana wanaume wanakufa mapema wanaacha wanawake wanaenjoy mali zao kwa raha zao.
But huko US, Canada, Uk imegundulika kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwapo na kizazi cha wanaume ambao wana mafanikio sana kwa kujiweka mbali na wanawake kimahusiano (kuishi nao nyumba moja) na wameonyesha significant improvement maeneo yafuatayo:
Kwenye maswala ya finance pesa zao zimekuwa zinaongezeka kila mwaka kwasababu hawalipii mtu bili ila wao tu sababu wanaishi bila wake au watoto so no bills za hovyo.
Wana expenses chache na income kubwa. Kipato kinatosheleza na wanabakia na ziada kubwa maana hawalazimiki kuishi apartment kubwa ya zaidi ya chumba kimoja , most of the time hawapo home so less utility bills kama umeme, maji, internet, sijui chakula etc
Wanaishi wenyewe so wanapata good sex wanapohitaji maana ataenda club au ataita manzi watakulana asubuhi kila mtu na 50 zake anaendelea na ratiba zake hadi ajiskie tena kutafuna pisi mpya.
Ana muda wa kwenda gym kufanya mazoezi na kula chakula kizuri na kupata muda wa kupumzika bila kusumbuana na mtu hapo ndani.
Pesa ya kutosha so uwezekano mkubwa wa kufanya biashara na mambo makubwa zaidi kiuwekezaji na kuongeza kipato na kutoka kuwa good income, kwenda successful, kwenda rich, na kuelekea kuwa wealthy.
Kutokana kuwa na stress chache nyumbani hii inafanya wanaume wa mlengo huu kuwa na miili yenye afya na muonekano wa ujana tofauti na baba zao ambao wakiwa na miaka 30 wanalikuwa tayari na muonekano wa kustaafu au mwili wa kiutu uzima sana au uzee.
So sijui kama umetazama na kuchunguza but hiyo ndio life style mpya kwetu sisi wanaume. Huu mtego wa ndoa tumeushtukia kuwa ndio unatuchakaza.
Mtu akiwa katika mahusiano ya kudumu au ndoa na mwanamke anadeal na stress zifuatazo
Watoto unatakiwa wale, wavae, wajengewe nyumba kubwa ya kisasa ambayo wataishi kwa miaka 20 au 25 kisha watasepa na kuanza maisha yao. So unawapambania kwa kitu cha miaka 25 then wanasepa.
Unatakiwa kila unachonunua umuwazie mwanamke wako pia tena kwa yeye kuchagua unachotaka kwa hela yako ili yeye afurahi. Yaani furaha yake wewe ndie unaitafuta kwa hela yako ya jasho lako. Inamaana asingekuwapo hiyo hela ungeweka tu bank na ikakusaidia investment zako. Mfano mwanamke atataka simu mpya kila zinapotoka au akivunja kwa uzembe wake, nguo mpya, hela ya matumizi , saloon, vipodozi, mchezo wa vikoba ambayo hautapata hata mia, umlipie kodi mtakapoishi au kulazimika kumjengea nyumba ambayo mwishoni atataka aimiliki pekee yake. Umsomeshee watoto wake etc. Hizi zote utafanya kwa gharama zako.
Atataka umtoe out na usipofanya hivyo ataanza kukublackmail kwa kukuonyesha kuwa kuna wanaume wanamtaka nje na wapo tayari kumtoa out badala yako wewe kama hautamtoa na ukimhoji au kumkemea hii jamii ya watu wanafiki na wenye double standards watasema haumpendi mkeo unamuonea kwa kutomtoa out ni haki yake kukudai umtoe out, sasa ujiulize upendo huwa una masharti namna hiyo, so why bother kuspend kwa mtu asiye na shukurani?!
Utagharamikia matatizo ya familia yako na familia yake tena kwa lawama bila shukuruani na hata siku mkitofautiana au ukafirisika familia yake hawatakuwa upande wako watakaa upande wake watajifanya kuwa upande wako ila kinafiki. Sasa why pesa ya jasho lako ikasolve matatizo ya watu wasio na interest na maisha yako tokea moyoni ila wanakutumia kwa faida zao, hii pesa ukiweka kwenye account si unaweza fungulia biashara mpya ndogo ndogo?!
So kimsingi, 80% to 90% ya income yako kama mwanaume haikutumikii wewe inakwenda kwa watu ambao hawana interest na wewe ila material possession zako tu. 10% tu ndio unaitumia wewe kama wewe. Ndio maana tunawahi kudhoofu na kufa mapema sababu ya kutumia miaka yetu ya nguvu kuhangaika watu ambao wanatutumia ila tukiishiwa nguvu wanatutema na kutojali tunaishia vipi.
Ukitumia 90% ya mapato yako kama mwanaume kwako tu utaona unafika miaka 60 kuendelea mbele ukiwa na nguvu zako na afya nzuri na mafanikio plus uhuru na furaha ya moyo bila masononeko yoyote na kila mtu atakupa heshima na kutaka attention yako sababu utakuwa symbol ya uimara na mafanikio.
Ila umefika miaka 50 huna hela, umestaafu, umechacha mgonjwa mgonjwa huna afya utashangaa kila mtu anakukwepa anakuona mzigo.