Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Kwa ambao hawajui pakuanzia naweka Links mbili hapa labda zitawasaidia beginners

Kwa Upande web development pakua hizi tutorials The Complete Web development course

Kwa wale ambaowangependa kwenda na Programming labguage ambayo ni multi purpose na rahisi Beginners Java Programming-TheNewBoston

Kama utaka kwenda Advanced zaidi kuna Course nyingine ya Java itafundisha kila almost kila kitu isipokua Java servelets na Android programming,itakufundisha ku Build GUI kutumia JavaFX tena kwa urahisi zaidi kwa kutumia SceneBuilder,itakufundisha Networking itakufundisha features mpya za Java 8 kama Lambda Expressions

Complete Java Masterclass

Kuna Course inatolewa na Harvard(Hii ni the Best nafikiri) walikua wanafunidhs kwa C ila nafikiri kwa sasa ni Python ni wewe kwenda hapa nakuanza shule Introduction to Computer science-Havard-CS50x

Kuna course kibao walimu mbali mbali Online katika sites kibao mtandaoni sema mm napendelea Udemy maana nyingi ni za kulipia na zinakua na Value for money!

Kama unataka Course za Bure bila kulipia Udemy waweza kutumia Download Udemy Courses For Free | FreeUdemy.Me hapo utakuta Tutorials kibao hata mbazo sijataja kama za Photoshop,C# na C++ ni wewe kwenda hiyo site na ku search!
 
Mwana nikuambie ukweli tu...UNA ROHO YA KICHAWI.... nyie ndio wale mlipokuwa shuleni mlikuwa mnaficha vitabu ili wengine wasifaulu

bro hahahah hata kama ulale na tutorial youtube kama kichwa chako hakiko tyari kama it isnt in your blood the mindset the joy you will never be a programmer
 
programming maelezo kidogo

ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani

so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani

na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
Kwahiyo ukisha anzisha hiyo programm ya computer unalipwaje sasa yaani nani anakulipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hitlerian kind of thinking. You must be an evolutionist!
Its true ,either you are born a male or a female, single parent or both parents, programmer or not a programmer. its simple binary .The universe itself is simple binary either you are alive or dead, coder or not a coder .the law of excluded middle( P || !P)
 
Its true ,either you are born a male or a female, single parent or both parents, programmer or not a programmer. its simple binary .The universe itself is simple binary either you are alive or dead, coder or not a coder .the law of excluded middle( P || !P)
FYI God created us equal and as such anyone can learn and become a programmer if he decides to pay the price. Your evolutionist view have blinded you to that fact. Am sorry to say, there is one God who decides the fate of everyone. Thanks to Jesus you are not that God.

TL;DR Your view is wrong and worse than that: It is a very big and fat lie!
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Nenda unique
FYI God created us equal and as such anyone can learn and become a programmer if he decides to pay the price. Your evolutionist view have blinded you to that fact. Am sorry to say, there is one God who decides the fate of everyone. Thanks to Jesus you are not that God.

TL;DR Your view is wrong and worse than that: It is a very big and fat lie!

God didnt create us equal na tena infact sir god wako mwenyewe amesema kuwa kila kiumbe kampa talanta yake.Kwahyo siyo kila mtu anaweza kuwa programmer.Kama ndo hvo basi kila mtu angekuwa ana program sasa Maana vitabu na tutorial zipo nyingi tu na watu wengi wanasoma CS au whatever software related topics
 
Duh! Ujifunzie tuu mtandao bila kwenda shule? Labda Html, lakini kwa Php,Javascript,C++,visual Basic.. tuache utani mimi nmesoma haya mambo ni magumu balaa yanahotaj muda wa kufundshwa pia kufanya kigroup zaidi

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app

cyo kila mtu ni spoon feeding kama wewe bro
 
Oy wataalamu wa coding interesting challenge hapa
problem: implement a function that generates prime numbers
nimejaribu naona ina feli kwenye n = 7
mwenye wazo atoe shauri
 
MI nilikuwa naombeni msaada jaman. NImekuwa nitaman sana kujua code kwa kipindi kirefu. Nikawa nimeanza kwa kusoma vitabu mbali mbali kama java programming 6Ed but shida ni kwamba sijajua utaratibu mzur wa kusoma kwa kuzielewa yan nimesoma ktabu karibia chote na tutorials but sion changes zaid zaid tuu naona mambo yanazid kuwa magumu sielew nn tena cha kufanya kuzielewa kiurahis. Naomben msaada jaman utaratibu wa kusoma kwa kuelewa code coz i really need to know it.

Karibuni!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom