Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Mi nina vyeti vizuri sana vya I.T ila walimu walikuwa lipua kwenye practical. Nataka kuwa mtamu katika either graphics, networks, web development and programing ile web based!
 
Kuna ombi hapa limetolewa lakini hakuna majibu. Nivema likajibiwa ili tujue kama inawezekana au haiwezekani kuanzishiwa group la WhatsApp ili sisi Wenye nia na uhitaji tupate mahala pa kupewa maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
group la telegram liko tayari fungua hii link ya telegram afrocode
send me you number i will join you
kiingilio ni 10000 tshs
utapata premium contents and awesome tricks,coached,mentored for the whole year
content utakaopata ni
full stack software development
entrepreneurship
inspiration contents

namna ya kulipia
lipa elfu kumi kwenda 065313361
hakikisha jina aziz yusuph linaonekana
sms the confirmation message to 0653313361
make you use your same number to complete the transaction
you will be joined to the group

namna ya kupata telegram
for desktop device https://telegram.org/dl/desktop/win
for android device Telegram – Програми Android у Google Play
for windows phone Acheter Telegram Messenger - Microsoft Store France
for iphone/ipad Telegram Messenger on the App Store
you welcome
 
I need to learn programming from scratch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I need to learn from scratch

Sent using Jamii Forums mobile app
kutokana na maombi ya watu wengi nimeamua kuanzisha group ambalo ukijiunga utaelekezwa ni njia gani upite ili uweze kuwa full stack software developer
kiingilio ni elfu 10 utapata exclusive contents ambazo hazipatikani kwenye vyuo vya kibongo
 
tuma number basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…