Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Mkuu natamani kweli kujifunza ili cjui nianzia yaan namaanisha basic
 
so you have skills and all techniques
how to get your first customer?
start with your relatives;uncles,ants,brothers
go to your religious comunity;msikitini,kanisani
visit your previous schools
spread the world of mouth about your products
happy coding
 
Naipenda sana hi kitu lakn ni mbovu sana kweny hesabu

Programming is not equal to maths and not all good mathematicians are good programmers, huu ndo uhalisia. Programmming ni process ya kusolve matatizo inayohusisha activities kama analysis, logic, reasoning, abstraction na n.k. Background ya maths huhusisha activities kama hzo pale unapokuwa unasolve maswali mbalimbali, that means maths inatoa advantage ya hzo skills kama mhusika aliitendea haki somo hilo. Kama unafikiri huna hyo advantage USIOGOPE kwasababu wapo wengi wanaopragram na hawakuwa na hyo advantage, but with time they made it.

And MATHS like any other skill, u can improve on. Mfano, ni dr. Barbara Oakley ambaye alkuwa ni very poor at maths on her school years kiasi kwamba degree yake ya kwanza ilkuwa ni kuhusiana mambo ya literature iliyompelekea kufanya kazi ya utafsiri wa lugha jeshini. Kutokea huko alibuild interest ya maths, leo hii ni Instructor wa School of Engineering and Computer Science, Oakland University.

Siri yake ni ''Learning how to learn'' course ambayo anaifundisha kwenye online platform ya COUSERA . Nnasuggest uipitie kwasababu inamhusu kila mmoja anayeihitaji kujifunza maarifa mapya and not only math. Pia ameandika kitabu cha 'MIND FOR NUMBERS'' ambacho ukikipitia utapata insights nzuri.

Being against the odds, doesn't matter anymore.
 
Programming ni ngumu sana, ni ya wateule wachache...

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Programming ni learned skill kama skills nyingine, kwa wenzetu waliotutangulia kuna watu wanakuwa enrolled na career hii wakiwa na 40 years na kuendelea, tena from non computing background, so ukiwaambia kuhusu uteule, ww ndo utaoonekana mteule kwa kuongea dhana za miaka ya 80.
 
Hyo program ikoje jamani wengne hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mifano miwili
1. Kikundi cha wafugaji wa kuku Tanga, mmefuga kuku wengi kiasi kwamba mmekosa soko hapo Tanga. Sasa mmefikiria mtafute soko nje ya Tanga na hata ikiwezekana mnataka kuanzia tanzania, east africa, na dunia ifahamu biashara yenu ya kuku. Mnafikiria njia kama za watsapp, instragram, t.v, radio but mnaona labda hazitamfikia kila mmoja, mnaona labta mpate mfumo wa kigitali kama tovuti hivi ili muweze kutangaza biashara zenu ili kumfikia kila mmoja. Wakati kama huu ndipo mtakapo mhitaji programmmer.

Tatzo analolishughulikia programmer ni "biashara ya kuku kutoka kikundi cha Tanga kuifikia dunia nzima". Programmer atatumia programming skills pamoja maelekezo ya kikundi kutengeza tovuti nzuri ambayo itatangaza biashara yao duniani. Maana yake mnaweza mkampata mteja kutoka kokote kule na kwa misingi hyo atakua ametatua tatzo mlilompelekea.

2. Wewe ni mwalimu mkuu umepata changamoto hizi shuleni kwako
a. malalamiko kutoka kwa wazazi ya kutofikishiwa ripoti za mitihani kutoka kwa wanafunzi.
b. malalamiko kutoka ofisi ya taaluma ya kupotea na kuibiwa kwa baadhi ya mafile ya taaluma
c. suala la uhaba wa ofisi za idara katika shule yako

Baada ya changamoto hizi, umeshauriana na staff wako, mmeona solution ni kupata program ambayo itatua changamoto hzo. Hapo ndipo programming inapohusika. Programmer itabidi aitwe akune kichwa kutengeneza simple and user friendly program. Anaweza solve kwa kutengeneza program ambayo itaruhusu kila mzazi apate matokeo kwa kutumia sms na matokeo na mafile yote yawe kigiditali(not paper based). Therefore wazazi watapata matokeo, na pili kwasababu hayo mafaili yashawekwa kwenye program yanaweza yakotolewa ili hyo storage iiwe modified na kuwa idara. Huwezi jua, inaweza ikawa idara ya programming hahahaa.

Generally
Programmer kazi yake kubwa ni kusolve problems kwa kutumia programs. Kitendo cha kutumia programs ndicho kinaitwa PROGRAMMING. Programs hizi huandikwa kwa kutumia programming LANGUAGES mf. java, python, c++ ,c, swift, ruby, javascript n.k.. Pale unapokuwa unatumia programming language, kuandika kipart chochote cha program, kitendo hicho huitwa CODING.

No programming No jamii forums!
 
mkuu nakuonea wivu well then kidogo dogo tutafika tuu,,,
 
napenda kujifunza kutengeneza barcode zinazobeba household informations kama kuna mtu ana websites za madarasa hayo anisaidie tafadhari
 
Moja ya Uzi muhimu sana JF baada ya kusoma nimeanza HTML.....naamini kila mtu mwenye nia anaweza kuwa kama akitia bidii
 
Very interesting thread
 
Nadel na course za MIT sasa nikimaliza nitajitest kwakuhack website yetu pendwa
 
Dunia taalamu ambayo mtu unaweza kuibobea bila hata kwenda darasani “physically” ila kwa kutumia tutorials ambazo zio kwenye mtandao na kufanya mambo makubwa ni Programming.Wenzetu wazungu unakuta mtoto wa miaka 6 anaifahamu vizuri sana programming kwa kuwa teyari wanafahamu kwamba programming ndo real deal kwa dunia ijao. Kila kitu duniani ni programing kuanzia simu tunazotumia mpaka applicaions za kila siku kwenye maisha yetu.

· Kwenye magari ni programming na mechanics.

· Social Media zote ni Programming.

· Makampuni yote ya simu platforms zao zote ni programming.

· Yaani programming imetumika kwenye kila kitu ya maisha ya mtu.

Dunia inakoelekea nchi za Africa zinatakiwa kuwekeza sana kwenye Technology na programming plays role kubwa kwenye industry ya Technology. mfano nchini Amerika wana center inaitwa Silicon Valley ambayo ndo tegemea za gunduzi nyingi. Ukiangalia nchi nyingi za afrika mfano Tanzania tunalalamika sana kukosa technology ya kufanya mambo mengi kwa sababu hatujawekeza kwenye hito sector. Kama Taifa tuna programmers wengi ila wanaishia kuajiriwa na makampuni na kupewa monthly salary wakati Taifa linaweza kuwatumia kwenye development ya system nyingi sana za serikali na kwa gharama nafuuu. Nawaomba serikali wainvest sana kwenye Technology na itawalipa sana baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…