vijana huku mnapoelekea sio kabisaa

vijana huku mnapoelekea sio kabisaa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Posts
13,259
Reaction score
7,108

Uvaaji gani huu! hii style sijui inajina gani....

374768_10150434460804198_781164197_8345252_1183598905_n.jpg

​
 
Hiyo inaitwa KATA GOTI (Ile ya zamani ilikua KATA "K")

hahaha imagine atembea kwa swing mtaani.. na hiyo style.. au akiwa anacheza pool table

Hii sio bongo mkuu.

ni kweli kwani hata muanzisha thread hayupo bongo... lakini kwa akili zetu za kuiga hiyo style ipo njiani yaja...



 
ha ha haaaaa,hili ZEZETA tu litakua,tha MLEGEZO mpaka ugokoni????
 
Back
Top Bottom