Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

Hii ni pisi moja matata kweli kweli kwanza kujibu DM sio jambo rahisi sababu kama mnavyojua pisi kali instagram huwa hazijibu dm kirahisi rahisi sabab ya usumbufu wanaoupata kutoka kwa washkaji lakini ukiwa na kibunda kazi inakuwa nyepesi sana.

View attachment 2770126
Sasa hiyo account ya bank gani
 
Ulituma kias gani? Ni technique nzuri.. ingawa unamzoesha vibaya mapema sana, huyo atakusumbua sana mpaka akupe uchi.

Mara nyingi ukitanguliza hela mbele, wao wanajipa akili ya kwamba unazo nyingi, ili azifaidi ni lazima akupige danadana huku akikuomba vihela vya hapa na pale. Na hata ukimind na kususa yeye hana hasara maana tyr kashachukua fungu lake mapema.

mkuu huyu napiga mapema sana naenda nae zanzibar siku 3 tu!
 
Ulituma kias gani? Ni technique nzuri.. ingawa unamzoesha vibaya mapema sana, huyo atakusumbua sana mpaka akupe uchi.

Mara nyingi ukitanguliza hela mbele, wao wanajipa akili ya kwamba unazo nyingi, ili azifaidi ni lazima akupige danadana huku akikuomba vihela vya hapa na pale. Na hata ukimind na kususa yeye hana hasara maana tyr kashachukua fungu lake mapema.
Kweli kabisa
 
Most of things have value, u can buy them, wengine tupo tayari kutafuta hela kwa ajili ya kujisaidia na kusaidia watu na sio kutafuta uchi.

Kwa uzoefu wangu, kama kuna namna wadada niliowaza nisingewapata kabisa, niliwapata kwa sababu ya kutowafuatiliya.
Humu ndani humu 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
✍️✍️✍️✍️"""""Kwa uzoefu wangu, kama kuna namna wadada niliowaza nisingewapata kabisa, niliwapata kwa sababu ya kutowafuatiliya."""""
 
kwamba pasipo pesa sipati mapenzi . Upo wrong sana. Wewe tayari umezipata hela?

haupati kile moyo unataka otherwise labda uwe bado kijana mdogo ukiwa mkubwa utakuja kuelewa haya
 
Most of things have value, u can buy them, wengine tupo tayari kutafuta hela kwa ajili ya kujisaidia na kusaidia watu na sio kutafuta uchi.

Kwa uzoefu wangu, kama kuna namna wadada niliowaza nisingewapata kabisa, niliwapata kwa sababu ya kutowafuatiliya.
Hakika Kaka, tume fanana katika Hilo.
👉 Don't chase girls, be busy building your empire.
 
Watakuja kwa makundi, eti ili upate contact za mtu unaomba account number? Kweli hawa madogo wa siku hizi ni wa hovyo, naishi maisha classic, few nice cars, sio mlevi, sina mambo mengi, nikitaka demu simkosi.
bro, I can't just meet a new girl and start splashing ma money on her.
👉If she haven't ever had a fun in her life, I will be a true man and spend some.
👉Ila akiwa konkodi, nakuwa less motivated. Coz Hakuna jipya hajaona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom