Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni kwako.
Hiyo mashine inapatikana China unaweza jiagizia ukaanza na mtaji wa Tsh.45,000/= biashara ya Petrol mkali wangu.
Utakuwa unachukulia mzigo kwenye hizo hizo Petrol Station na wewe unakwenda kuuza rejareja kijana.
Nimeambatanisha na kifaa ambacho kinatumika kuuzia hayo mafuta ndugu kijana.
Maeneo ya Biashara:
1. Masokoni
2. Kwenye vituo vya Daladala/Stendi za Daladala
3. Gereji za Pikipiki, Bajaji na Magari
NB
1. Serikali niwaombe msiweke kikwazo kwenye hii biashara kabisa.
2. Nyie wazee wa Vituo vikubwa vya mafuta acheni nongwa sawa kwa vijana. Kikubwa wote mnalipa kodi Serikalini.