engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Kikao cha juzi kilichofanyika Mount Meru Hotel Arusha, ndiyo kilifikia azimio la chama cha CDU kuisaidia CHADEMA kutoa elimu ya siasa kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA, ili nao wawaelimishe wanachama wengine hiyo elimu. In general kilichozungumziwa ni political strategies.
Utaratibu hukoje? Ebu tujuze vizuri jinsi taratibu za kupata hizo scholarship zilivyo. Nataka tujipange ....
Hebu soma post namba 8 hapo juumbowe na baba mkwe wanajua watu wa kuwapeleka ili kuendeleza vizuri taasisi ya familia.
wewe mutu wa mtwara ulie tu!
ndio ukweli huo. hizo nafasi zimetangazwa lini.Mwendawazimu wewe hebu soma post namba 8 hapo juu
Wangekuwa jamaa wa Magamba wangeomba hela au vyandarua, kama walivyomuomba Bush mwaka ule. Chama makini kimeomba elimu na maujuzi ambayo ndio chachu ya Maendeleo. Hongera CDM kwa kuonyesha njiaKikao cha juzi kilichofanyika Mount Meru Hotel Arusha, ndiyo kilifikia azimio la chama cha CDU kuisaidia CHADEMA kutoa elimu ya siasa kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA, ili nao wawaelimishe wanachama wengine hiyo elimu. In general kilichozungumziwa ni political strategies.
mbowe na baba mkwe wanajua watu wa kuwapeleka ili kuendeleza vizuri taasisi ya familia.
wewe mutu wa mtwara ulie tu!
Haya tena vijana wa CDM nafasi ndizo hizo nendeni mkapate shule Ujerumani na sio kwenda kujirusha,kwani hii nchi inawahitaji sana vijana wasomi wenye upeo wa kuona mbali na sio kuona mwisho wa vidole vya miguu yako.
Chama cha Christian Democratic Union of Germany(CDU) kimeamuwa kuwapa nafasi hiyo kwa lengo jema tu la nyie kuweza kuongeza elimu ya siasa kwa faida ya chama chenu na Taifa kwa ujumla
kila la heri vijana wa CHADEMA na safari ya Ujerumani
The CDU is Christian-based, applying the principles of Christian democracy, and emphasizes the "Christian understanding of humans and their responsibility toward God", though people adhering to any religion as well as non-religious people are allowed to be members of the CDU. The CDU's policies derive from Political Catholicism, Catholic social teaching and political Protestantism, as well as fiscal conservatism and national conservatism.
Hivi huoni kama hayo majina yanaendana na nyadhifa? Nani Ndugu wa Mbowe au Slaa hapo? Kila siku nasema na leo narudia tena kuwa CCM lazima uwe mwendawazimu na akili zako uweke kwapani kwanza. Kwa kuwa nafasi hizo zimetolewa pia kwa CCM nitawaletea hapa list ya vijana wa CCM muone watakavyobebana.ndio ukweli huo. hizo nafasi zimetangazwa lini.
mbowe na baba mkwe wameamua nani anawakilisha maslahi yao zaidi.
uwazi wangetangaza vijana wote wapiganie. endeleeni kuota taasisi hiyo ina wenyewe.
mbowe na baba mkwe wanajua watu wa kuwapeleka ili kuendeleza vizuri taasisi ya familia.
wewe mutu wa mtwara ulie tu!