sawa lakini ni kweli chama cha kikristo
nilijua lazima hili litatokea na wa kwanza kulitoa ni MS.
nilijua lazima hili litatokea na wa kwanza kulitoa ni MS.
Hahahahaha! Ben my best friend!yah good idea,wawepo watu wa aina ya kina ben wa sanane na wengineo...apo nitaona demokrasia ikichungulia angalau!!!
Yaani wewe demokrasia kwako ni kuona ben akienda kwa taarifa yako kanyea kambi.yah good idea,wawepo watu wa aina ya kina ben wa sanane na wengineo...apo nitaona demokrasia ikichungulia angalau!!!