Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Ha ha ha mbona kichwa kidogo kuliko mwili?hebu ona Bujibuji katika pozi la aina yake
hapa alikuwa anaonesha mitindo ya mavazi
View attachment 115202
Ha ha ha mbona kichwa kidogo kuliko mwili?hebu ona Bujibuji katika pozi la aina yake
hapa alikuwa anaonesha mitindo ya mavazi
View attachment 115202
afadhali umefanya hivyo bestito
kwani huyu Bujibuji aelewi watu kuwa
kuna nyakati za milo asiweke masaiba yake
yeye anajiwekea utafikiri yuko fb au youtube
hivi hiyo youtube ni kama android? Hebu nitoeni ushamba mwenzenu mi sio mzoefu sana na haya mambo yenu ya kimjinimjini, mara viber, mara whatsapp, mara BBM
hebu ona Bujibuji katika pozi la aina yake
hapa alikuwa anaonesha mitindo ya mavazi
View attachment 115202
Hahah haha ladyfurahia, umeuibua wapi huu mzimu wa tambiko?
Ha ha ha mbona kichwa kidogo kuliko mwili?
hivi hiyo youtube ni kama android? Hebu nitoeni ushamba mwenzenu mi sio mzoefu sana na haya mambo yenu ya kimjinimjini, mara viber, mara whatsapp, mara BBM
sio viatu tu....chupi ndo kiboko yake...zinaficha mengi zaidi ya viatu
Tatizo ilidhani ni yale mambo yako yanayohusiana na libidoBora hata nisinge angalia majanga