Vigra Mbayaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigra Mbayaaaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by majogajo, Mar 3, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata kupiga bao 18 bila kuchoka ila itategemeana na nguvu ya binti atakae tembea nae na akamsisitiza kuwa kutumia hi dawai binti hawezi akakuacha hata mzazi wake akifanyaje kutokana na dozi atakayopewa. tena dokta akamuulza kijana anategemea kuwa na game lini, kijana akamjibu siku hiyohiyo baadae kidogo. hivyo dr. akamsisitiza kijana anywee hapopo, ili baada ya lisaa ianze mambo yake. kijana akatii na akanywa ile dawa. baada ya kijana kuondoka kulikuwa na jamaa mmoja akawa anmwambia dokta huyu kijana aliyetoka hapa huwa anatembea na binti yako. na wanapendana sana. dr. akavuta kumbukumbu binti yake alimuaga ataenda kumtembelea rafiki yake na anategemea atachelewa au atalala huko kabisa. ungekuwa wew ndo dr. ungefanya nn? ukizingatia viagra aliyonunua kijana ndo itaende kumtendea kaz binti yako?
   
 2. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa mimi....!? pumbaf...y..ak..o!
   
 3. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ningemwacha akakione cha moto.....chezea mimi wewe?!
   
 4. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Haya hayaaaa,wale vilaza..........sorry,wale mashabik wa livapul MJIANDAE!!!!!
   
 5. U

  USUAL Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loading........................0%
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  mwache tu coz kashaizoea dozi
   
 7. m

  majogajo JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Loading.........0% manaake nn!!!!!!!!,wageni wa jamvi mnamambo.....bahati nzuri uliingia Rep zikiwa zinagawiwa bure.
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Bahati mbaya sio mimi, ningekunywa dozi nzima mara mbili ya aliyokunywa ya viagra halafu namfuata kwa nyuma
   
 9. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  yaani unampa dozi ya ziada alafu unamfwata kwa nyuma ili akakufanyie nini sasa? au unataka kwenda kumsaidia binti yako acha binti yako apelekewe moto chalii angu maana ndio raha pekee ya dunia hii hata mafisadi wanafisadi ili waweze kupata watoto wakali au unafikiri nini kinachotuangaisha kwenye hii dunia kama sio kupelekeana moto tu tukiwa tunasubiri kufa
   
 10. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujamuelewa
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  umeninukuu vibaya, hebu tuliza mzuka kwanza
   
 12. B

  Babu mchumi Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  mbavu zangu jaman!
   
Loading...