Millya hana influence yoyote itakayochajngia kuivuruga cdm.kumfananisha millya na mrema wa zamani ni sawa na kumfananisha lema na diwani wa ccm,like meru and isamilo montain in mwanza when u compare,in another way kaumaarufu cha millya imetokana na Edo mamvi that wy natabiri huyu bwana kushindwa kujibeba himself labda abebwe na infknce ya chama,arusha mjini millya hapawezi maana hata jukwaa millya hawezi cheza nalo,kumchukua hapo jana si kwa kuwa ni political product ila 2 show them (ccm) kuwa 2mewakomba