Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Kwa kauli kama hivi wanaweza kurudisha heshima ya Mwalimu Nyerere Foundation na wananchi wakaanza kuicnagia tena!
Kitila Mkumbo,
Kweli kabisa,,, kaka nilikuwa nime-kumiss sana!
Kwa kauli kama hivi wanaweza kurudisha heshima ya Mwalimu Nyerere Foundation na wananchi wakaanza kuicnagia tena!
Nasubiri kusikia Salim anaunga mkono mawazo hayo na kama Butiku alizungumza kama Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu.
Akirejea kuhusu kile kilichotokea wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya CCM ambao Rais Jakaya Kikwete aliibuka mshindi, Butiku alimlaumu Mkapa kwa kubadili kanuni za uchaguzi katikati ya vikao na bila ya ushauri wa kiongozi mwingine yeyote.
MafuchilaKwa mara nyingine nakupa tano Sam au Mzee FM kwani hii barua uliieleza sana kule kijiweni enzi zile.
Alisema kutokana na kuuona mwelekeo huo wa CCM kupoteza dira, Agosti 10, mwaka 2005 aliandika barua kwenda kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM na Rais wa Tanzania, Benjamin Mkapa kumueleza kuhusu hali hiyo ya kusikitisha.
Ngoja nicheki cheki, hali ya hewa huenda sasa ukawa wakati muafaka kuitoa hako ka-barua! Aaah kumbe inatoka kesho, basi saafi!
Ngoja nicheki cheki, hali ya hewa huenda sasa ukawa wakati muafaka kuitoa hako ka-barua! Aaah kumbe inatoka kesho, basi saafi!
Mkapa kinachotakiwa ni sheria kuchukua mkondo wake. Apelekwe mahakamani na labda huko ndiko akajitetee.
Nafikiri Salim ananilielewa hili kwani nakumbuka ulimuuliza swali kuhusu Kama Yupo mtu ambaye anaweza kukemea yale ambayo yanatokea sasa hivi ndani ya nchi yetu baada ya Baba wa Taifa Kuondoka na alijibu kwamba Hakuna anaemfikia baba wa TAIFA KWANI ALIKUWA NI MTU WA AINA YA PEKEE Kwa Tanzania Kama walivyo watu waina yake Nchi nyingine ,kwa Afrika ya kusini Mandela nk, Lakini anaamini wapo ambao bado wanaweza pamoja na kwamba sikatika uwezo wa Mwalimu,Nafikiri Butiku Ni mmoja kati ya aliyekuwa akiwazungumzia Salim Hasa ukizingatia wanafanya pamoja ktk hiyo Taasisi.Nasubiri kusikia Salim anaunga mkono mawazo hayo na kama Butiku alizungumza kama Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu.
Kwa mara nyingine nakupa tano Sam au Mzee FM kwani hii barua uliieleza sana kule kijiweni enzi zile.
Mnajua kuwa ningeshaiweka longtime ago, lakini nani naniiii kidogo, sasa midhali mwenyewe mwenye ka-barua ametoa idhini ngoja tuone upepo kwanza wakuu, subira yavuta heri hii na wala sio shari, ahsante mkuu Keila na wengine wote, lakini ninawaahidi subira inafikia ukingoni sasa,
Maneno yanakuja!
Kama unaweza kutuwekea hapa tutashukuru na wengine waliokwishaisoma wafanye jitihada watuweke na hapa.Natanguliza shukran!Nimeisoma kwa kweli ilikuwa yenye kuitakia mema Tanzania.
Lakini Mkapa akaendelea kukaidi!
Ninadhani sasa wana JAMBO NA WATANZAIA WENYE KUITAKIMA MEMA NCHI YETU TUAMKE WEZI WAMEIVAMIA CCM.
WAKATI WA CCM KUGAWANYIKA NI HUU. IILI WEZI WABAKI NA CHAMA NA WANAOTAKIA MEMA NCHI HII WABAKI NA CHAMA CHENYE NIA NZURI.
TIME HAS COME! WAKE UP! WAKE UP!