1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 611
Slaa nae amekiri kuwa ana kadi ya ccm,tusubiri tutayasikia tu
Hata Dr Lwaitama nae amekiri ana kadi ya c.c.m ila yeye ni mwanachama mfu,kwa kua hajailipia hiyo kadi zaidi ya miaka 20,hajakipigia kura chama toka mfumo wa vyama vingi uingie Tanzania,na haoini kama C.c.m ni chama kitakachoweza kuikomboa nchi toka kwenye dimbwi la umaskini,so try to think out of the box,nini maana ya mwanachama mfu,na je kua mwanachama active wa chama unahitajika kufanya nini,kama wewe ni kijana nakusihi tu kua usiwe na mitazamo au fikra nyepesi bila kushirikisha ubongo!