Vigogo wa CCM waachishwa kazi kwa Ubadhirifu.

Kwa hali ilivyo sasa tutegee mpasuko na mkengeuko wa maoni kati yao. Kwani kuna waliotolewa Kafara na wanaona kuwa hawakustahili hii itafanya nao kujitutumua na kutulisha wapiga filimbi habari. mwisho wa yote tutawabomoa kwa Hoja.

Vita ya Panzi mavuno kwa Kunguru.
 
Angalieni ibara ya 15:1 na 2 ya Katiba ya CCM mtapa "clue" ya kwanini fedha za CCM zinauma mno kuliko za Serikali. Kwenye yahoo search for "Kataraiya, mwanakijiji"... utapata jibu pia.

Mzee wangu MK, kwani unaamini kwamba watu hawa wametolewa kwa ubadhirifu?? Come on jamani Malegesi aibe hivyo vimilioni vya nini wakati alikuwa mtu wa karibu na Balali na amepata kule jikoni kwenyewe???

Baada ya aibu ya NEC kutokufanya chochote, wameibua viporo vya news za mwaka jana. Hawa watu walishafukuzwa kitambo.
 
Mdau walikuwa wamesimamishwa!! na sasa wamefukuzwa RASMI!!
 
really..? Kikao cha Kamati Kuu ipi hiyo na kilifanyika lini? maana tusije kuwa tunazungusha habari za mwaka jana mwaka huu.. niko tayari kusahihishwa lakini naamini haya siyo maamuzi mapya..

Hili lilitokea zamani sana. Sijui huyu mleta habari alikuwa kahamia sayari gani hiyo. Nadhani huyu anasafiri kwa technology ya 'ungo,' toka kwenye hiyo sayari ya kusadikika.

Basi ingefaa wafukuzwe uanachama kabisa!
 
Sasa si usome habari yote ndio uchangie!! kwani ni lazima kuchangia angalia ni wangapi wame view na kuenda zao!? kuna tofauti ya kusimamishwa na kufukuzwa!! Acha kudandia gari kwa mbele!!
 
Hii habari inathibitisha maoni tyaliyotolewa humu JF kuwa CCM wameweka mbele maslahi ya Chama chao mbele kuliko ya nchi - angalau kwenye ubadhilifu wa hela za Chama chao wameweza kuchukua hatua ya danganya toto wakai mafisadi wa fedha za umma bado wanatanua na kuzitumia
 
Kwa nini wasifunguliwe mashitaka??? Hawa wanatakiwa kupelekwa segerea. Toka lini mwizi huwa anaombwa kurudisha alichokwiba???Tukiamua kufuata utaratibu huu, basi tusianze kubagua. Wezi wote waliofungwa katika magereza waachiwe huru ili warejeshe walichokwiba. Hii itasaidia kupunguza mlundikano wa wafungwa magerezani

Haya mkuu ndio maadili ya chama, ni kukuweka pembeni kwa muda kabla ya kukurudisha tena kama Msekwa, hivi ulizisikia kampnei za kumtoa Msekwa u-Spika? Usingetegemea kuwa kuna siku angerudi tena, lakini kwa sababu alisusia kwenda mazishi ya Akukweti(RIP), mtu wa watu hakupenda kuona kuna kiongozi wa zamani ana chuki, kwa hiyo huoooooo mwanangu! Ndio haya ninayoyakataa maneno ya maadili, inatakiwa tufuate utawala wa sheria, na kuheshimu sheria kwanza kabla ya maadili ya vyama.
 
Back
Top Bottom