democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
naona magamba yanazidi kupata moto
Ulifikiri dhana ya kujivua gamba ina maana ipi? magamba yaliyokauka yanapukutika yenyewe na tunabaki na ngozi safi na nyororo.
Huu ni upepo tu mwambieni lema aende mtwara kama atapata kitu
Vipande vya gogo dogo! Kama hujaelewa tafuta kamusi kwa msaada zaidi.nini maana ya neno vigogo?
Huu ni upepo tu mwambieni lema aende mtwara kama atapata kitu
CCM:rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip:
ccm wasipokua makini arusha nzima itakua cdm isipokua tu monduli ile ni ngumu cdm kuchukua
nini maana ya neno vigogo?