Vigingi kwenye bombardier yetu

Vigingi kwenye bombardier yetu

makamanda wakati mwingne mnakuwa kama wachawi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu ni zaidi ya Wachawi mkuu.
Juzi kati Mh. Rais alipofiwa na Dada yake kuna makamanda walijitokeza na kukataza kwa chuki kulitumia neno la RIP wakati wa kumpa pole Mh. Rais na familia na Manyumbu yakafuata na kutoa kejeli sana kwenye mitandao.
Leo Bwana TooProud Mbilinyi amefiwa na Mama yake mzazi nayaangalia tu kwenye Uzi husika yanavyofukunyuka kwa Unafiki na Uzandiki!
Inashangaza sana kwa kweli...
 
Mnapenda sana Shirika hili lishindwe ili mseme mlionya! Watanzania mnachekesha sana, hata kama mlionya ni bora kuombea mema kuliko kuombea ubaya. Hizi ni roho za kwanini.

Kumbukeni shirika hili ni la watanzania wote, likifanikiwa basi tumefanikiwa wote na likishindwa basi tumeshindwa watanzania wote na hasara ni ya walipa kodi wote. Sasa ona aibu yako! Suala la kuweka hivyo ulivyoita vigingi ni suala la kawaida sana, ulileta hapa kwa nia ya kudhalilisha kwamba ni ubovu lkn umeshindwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaombeaje mema kitu kinachoendeshwa bila business plan,??take it from me,jiwe hana uwezo wa kufanya international flights never ever!!! Hata atawale miaka 200,time Will tell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom