Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
b) Miss independent (Miss Jeuri. .sio mjeuri). . .maana sio tegemezi kifedha, kihisia wala kifikra.
1. Uwe mwanaume kamili. . .hataki tabu.
2. Kichwani kuwe na kitu cha maana. . .
3. Muonekano wa kumridhisha (yaweza kuwa vyovyote) . . .
4. Uwe na heshima kwake. . .
5. Usiwe mgomvi
6. Uwe mwaminifu
7. Uwe tayari kukosolewa/kuwekwa sawa.
8. Uwe na maisha yanayoeleweka.
9. Uwe mwelewa.
10. Uwe safi kitandani.
11. Uwe msikilizaji mzuri.
Erotica walau umecheka.
Embu nisaidie kuongeza vigezo pale kati. . .lolz
Hahahaha. . basi mimi napenda kuvalishwa na kuvuliwa viatu. . .lolz
Role model? I don't have any. . .
Who is yours?
[COLOR=#ff0000 said:Erotica[/COLOR];3874681]Deep down I am a simple gal... teh teh teh.
Nikisema SEX ndio kigezo pekee itakua uongo, mana hatuwezi kula sex wala kuwalisha
watoto sex. SEX sasa ni kwa ajili ya kujifurahisha as long as u play it safe with rubber
then u enjoy the sex fun. Siku ya mwisho nataka mwanaume naweza jikabidhi kwake bila 2ns thought like that!
Haya bana pumzika kama tumefikia muafaka kwamba sisi wanaume ndo funguo na nyie ndo vitasa no matter goup ya muhusika na kila kitasa kina funguo yake BUT kuna master keys na hakuna kitasa universal ukiona kila funguo inafungua hiyo kitasa jua kwisha habari hapo tafuta komeo mbadala
My role model.............sina bana ila napenda vitu fulani ambavyo si rahisi kuvikuta kwa mtu mmoja
Deep down I am a simple gal... teh teh teh.
Nikisema SEX ndio kigezo pekee itakua uongo, mana hatuwezi kula sex wala kuwalisha
watoto sex. SEX sasa ni kwa ajili ya kujifurahisha as long as u play it safe with rubber
then u enjoy the sex fun. Siku ya mwisho nataka mwanaume naweza jikabidhi kwake bila 2ns thought like that!
Miss desperate for life!
Ila Lizzy ndo maana unamwagiwa tindikali, ukorofi huu.
@Ndahani lipi hilo ?Funguka bana.Lakini ile sehemu B (10) kumbe nayo ni muhimu hata kwa independents? Kuna moja hata kusema naogopa maana Lizzy ameielezea vizuri...yaani ni ile style ya kujidondosha ili refa akupe penalty hata kama hakuna rafu
Master key? I think NOT. Hiyo nadhani ndo ile "mwanaume anaweza akampata mwanamke yeyote yule". . mimi bado kuona na kukubaliana na hilo. Unless ofcourse nyie mwafanana kwa kila kitu na kila namna which I highly doubt.
Hehehe. . .wewe kwanini huna?!Nidokeze na hivyo vitu.
Hehehe. . . hivi nao wanafikiria na kujali watoto kumbe? Lolz. . .nakuchokoza tu bana. . .
Hahahahaha. . . Yummy basi 'Miss I don't care'
Yeye kuolewa is an option, nothing more and nothing less.. . hata asipopata mwanaume wakumpenda vile vile hajali.
Hapo vipi?
When it comes to business OLESAIDIMU, I am all business all the way!
If you mean wat yu say and yu can act the way you say..................yu might b unique
Kwahiyo kuwa INDEPENDENT = kuwa DESPERATE?!
I think NOT.
Nnavyojua mimi ni kwamba kwa kiasi.kikubwa wanajua wanachokitaka/hitaji na namna pekee ni kuwa hicho wanachokitaka/hitaji. Hayo mapenzi ya kufunguliana mlango kama fasheni ni ya watoto na watu wazima wanaoact kama watoto, hayo ya kuhadithiwa kwa mashost ni kwa wale waliokosa kazi.
Why unique? Would lyk to know.
Hahahaha. . Yummy unataka kuniongezea? Hapa nlipo nna wakaka wawili, usije tu ukaniharibia kwa 'waliopo'.