Wadau wa tech poleni kwanza na shuguli zenu pamoja na vyuma kukaza.
Nataka kununua friji dogo la kutumia kwa sh laki 4 adi laki 4 na 50 la kunitosha manake nipo single sitakuwa na makorokoro mengi.
Naomba kufahamishwa brand gani ni nzuri na itadumu .na pia vigezo gani vya kuangalia ili nisiangukie pua.
Kuna mdau alinambia niingie JUMIA ni gharama nafuu zaidi vipi hili mnalionaje
Achana na mawazo ya kizamani kununua mitumba mkuu. Hiyo laki 5 anapata Samsung safi tu kashasema hahitaji friji kubwa.Salama,
kwa hari ilivyo sasa hivi, nakushauri uende kwenye mtumba, utapata friji nzuri na chenji itabaki hapo. lakini kama unahitaji kwenda dukani bs jiandae kuongeza pesa hapo.
Achana na mawazo ya kizamani kununua mitumba mkuu. Hiyo laki 5 anapata Samsung safi tu kashasema hahitaji friji kubwa.
Friji used linasumbua kila Sikh kuweka gesi mm nilinunua size ya kati mwaka wa 8 sijawahi kutengeneza wala nn.
ahhaha hiro kweri ni li bonge ra gufurijiKuna limoja lipo hom kwa bi mkubwa linapiga kaz tangu nipo darasa la tatu had leo ni GOLD STAR, sasa lina miaka 26 hakuna kujaza gesi wala nn, na linapiga mabiashara ya juice na mabarafu deile, litafute ukilikosa nambie nibonge na bi mkubwa umvue
Nunua friji ambalo ni defrost yani lisilo tengeneza mabarafu hata likipoa halitengenezi mabarafu kwenye kuta zake.Wadau wa tech poleni kwanza na shuguli zenu pamoja na vyuma kukaza.
Nataka kununua friji dogo la kutumia kwa sh laki 4 adi laki 4 na 50 la kunitosha manake nipo single sitakuwa na makorokoro mengi.
Naomba kufahamishwa brand gani ni nzuri na itadumu .na pia vigezo gani vya kuangalia ili nisiangukie pua.
Kuna mdau alinambia niingie JUMIA ni gharama nafuu zaidi vipi hili mnalionaje
Asante mkuu kwa kukazia manake naogopa sana mtumba. Af nataka kuwaepuka madalaliAchana na mawazo ya kizamani kununua mitumba mkuu. Hiyo laki 5 anapata Samsung safi tu kashasema hahitaji friji kubwa.
Friji used linasumbua kila Sikh kuweka gesi mm nilinunua size ya kati mwaka wa 8 sijawahi kutengeneza wala nn.