VIGEZO VYA KUINGIA UGANDA KIMASOMO

VIGEZO VYA KUINGIA UGANDA KIMASOMO

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,333
Reaction score
402
Habari za muda huu ndugu zangu,

Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye Uelewa wa vitu vinavyo hitajika ili mtu aruhusiwe kuingia Uganda kimasomo, Mfano niliongea na MTU mmoja akasniambia nilazima niwe na passport, kibali cha katibu mkuu utumishi na viza, lakini mtu mwingine akasema tafuta passport tuu, nikabaki njia panda

Anae fahamu mambo haya atujuze ,nafahamu wapo wengi wenye shida kama hii
 
Mmh makubwa katibu mkuu kwa kazi gani sijui waalimu akili zenu duh!!! we neenda tu na begi lako tu passport utakatia pale Bunazi kwa sh 20000 tu......Uganda kemeja watanzania wakihaya wengi kweli kweli watakupokea na kukusaidia mpaka utakapo taka kufika
 
Back
Top Bottom