Vigezo na masharti kuzingatiwa!!! (utavaa??)

Mkuu, niambie chap chap wapi naweza pata hiyo kitu kwenye picha ya kwanza na ya nne.
 
Hiyo ya kwanza utasababisha uwe unakimbizana na paka kila siku
 
Sasa hii ya sita kutoka juu mbona ni kama yuko pekupeku tu?
 
niambie kuna aina moja nimeipenda nataka nimnunulie zawadi ya birthday
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…