Mnyamahodzo JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 1,941 Reaction score 1,011 Apr 22, 2011 #2 Mkuu, niambie chap chap wapi naweza pata hiyo kitu kwenye picha ya kwanza na ya nne.
N nyuki dume JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 435 Reaction score 34 Apr 22, 2011 #3 Hiyo ya kwanza utasababisha uwe unakimbizana na paka kila siku
Chris_Mambo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 595 Reaction score 122 Apr 22, 2011 #4 Sasa hii ya sita kutoka juu mbona ni kama yuko pekupeku tu?
Dreamliner JF-Expert Member Joined Jan 17, 2010 Posts 2,034 Reaction score 215 Apr 22, 2011 #5 Du hiyo ya pili kutoka mwisho ndio imetulia sana
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Apr 22, 2011 #6 vya panya nomaaaa
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Apr 22, 2011 #7 niambie kuna aina moja nimeipenda nataka nimnunulie zawadi ya birthday