Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Lengo lao kubwa ni kusiwe na degree holders wanajeshi sijui? Vijana kibao tupo mtaani tunataka enda jeshi, kulitumikia Taifa na.pia kama kazi. Mtaani kugumu sana. Walegeze masharti yasiyo ya msingi kama ilo la umri. Itakuja.kuuma.zaidi utakaposikia.fulani na umri wake wa miaka 28 kaingia jeshini kisa ana undugu na fulani..
id yako tu inaonesha kilichomo kichwani mwako