VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 580
Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu ni vigezo gani anatumia kikwete kuteuwa VIGOGO wa serilika yake ni vipi
kwa mfano pamoja na mrindoko kupata kashifa nyingi hasa ya richmond alimkumbatia na baadaye kumpa unaibu waziri wa maji wizara muhimu na yenye mafungu ya kutosha (pesa)
Mkuu wa usalama wa taifa na jaji mkuu ni mtu na mdogo wake hawa ni familia moja, kazi ya mahakama nchi kwa sasa kila mtu anaijua hachia mbali mambo ya rushwa kuna amria kama kukamatwa kwa MBOWE na askofu mkuu wa anglikani kila mtu anajua nini kilitokea baada ya mbowe kukamatwa na kupewekwa ARUSHA lakini pia amri ya kukamatwa kwa askofu mkuu imekuwa na speed gava mpaka juzi kati kawambia polisi yuko Arusha waka mkamate.
nakuja kwa huyu IG ambaye inasemekana ni shemeji yake kabisa kwa wa kumuoa dada yake wa damu, kazi ya polisi hiko wazi
kabla ya kuchaguli akiwa mbeye kama RPC mahabusu 26 kwa kukosa hewa kutokana marundika alitolewa na kupelekwa interpo huko nairobi lakini mkubwa alipokamata nchi alimpachika hapo harakaraka
sasa basi kwa kuangalia hapo juu na wengine wengi kama hawa kima mkullo wanaosoma bajeti fake kila siku ili sio kundi la kumlinda mzee kweli maana wote wamefadhiliwa kiundugu au kunyanyuliwa walipokuwa wametupwa kwa kukosea,
kwa mimi kikwete anataka watu wana aina hii katika serikali yake?
kuna mimi ambacho kinamfanya ateuwe watu ambao ni rahisi kuwa blackmail kutoka na historia zao au utumishi wao wa nyuma