Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.

Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
 
Tigo wamelegeza kamba huko, kwahivyo vifurushi unapewa Router bure, wewe kazi yako ni kulipa tu!!View attachment 2961936
Habari wakuu,naombeni ushauri kati ya kifaa hiki chenye 20mbps kwa watumiaji 32,au cha voda ama eatel vyenye 30mbps kipi kitakuwa na ubora kwa kasi ya kustream au kupakua?
Na vipi kama watakuwa online watu wote 32,je speed itakuwaje?
 
Za 5G na Unlimited? Kama unaweza afford chukua. 5g nzuri.
Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.
Nina staff wangu 32,ninahitaji kifaa cha mtandao iwe voda ,tigo ama eatel.
Nimeona tigo wamerahisisha kidogo ila speed yao ni 20mbps,swali langu ni kwamba vipi kama watu 25au wote 32 tutakuwa connected speed itakuwaje?,tutaweza kustream videos kwenye platform mbali mbali bila kugoma goma?
 
Kama wote mna stream kwa wakati mmoja uongo mkuu, ila kama mmoja anasoma Email, mwengine yupo WhatsApp, mwengine ana stream etc inaweza kutosha.

Pia kutoka 100K kwenda 150K speed inaongezeka hadi 50mbps. Kwa 50mbps mnaweza stream kwa mkupuo wote.

Unaweza anza na 20mbps kwanza uone kama itafaa unatumia otherwise una upgrade.
 
Mkuu Kingsmann , kuhusu Airtel router ya 5G (UNLIMITED data package)... SIM card (line) yake inakubali kutumika kwenye smartphone pia?

Lengo: Router ikae home tu. Napoenda mishe mishe nachomoa SIM card naweka kwenye smartphone ili niendelee kupata internet kwenye simu. Naporudi home naweka line kwenye router.

Otherwise, ile AIRTEL pocket router 4G ingekuwa na UNLIMITED DATA PACKAGE ingenifaa sana coz inaruhusu kutembea nayo hata mfukoni, popote napoenda.

Ushauri wako plz.

-Kaveli-
 
Mkuu WaterNet , hiyo kitu ulifanikiwa? TIGO... kupata SIM card with unlimited data package pasipo kununua router yao?

If YES, je ni rasmi ama ni 'konnection'?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…