Moe Szyslak
JF-Expert Member
- Nov 6, 2016
- 341
- 682
Kwa maoni yangu Tigo na Voda ni wezi mno vifurushi havieleweki ila Ttcl network haileweki kama mvua za msimu ila vifurushi vina afadhaliMitandao ya simu inamilikiwa na mabeberu. Haya mabadiliko ya gharama za vifurushi yalivyo makubwa ukiweka na hali mbaya ya uchumi. Miezi au miaka kadhaa mbeleni matumizi ya simu yatakuwa anasa.
Na kitu kibaya zaidi ni kuwa mtandao mmoja wa simu una menu zaidi ya 2 ambazo zina vifurushi vinavyobadilika kila mara na hawafanyi bahati mbaya.
Farewell voda and tigo.
AIRTEL && TTCL are my new home
Kwa maoni yangu Tigo na Voda ni wezi mno vifurushi havieleweki ila Ttcl network haileweki kama mvua za msimu ila vifurushi vina afadhali
🤔🤔🤔Hicho kifurushi kipo kwenye menyu ya kawaida tu *147*00# then saizi yako.....ni tsh 10000 sasa kama hauna kwenye saizi yako kuna mtu anaunga ila bei inaongezeka kidogo......kama unahitaji utaniambia nikuunganishe naye mkuuView attachment 1191293
Mkuu na mimi naitaka hii connection
Unaifanya hii ishu?Shunie...hii connection uliipata???nikusaidie uunganishwe
Ilinishinda ya mwezi tu mm nilijua itakuwa mda mrefuShunie...hii connection uliipata???nikusaidie uunganishwe
Hii imekaaje mzee bana hebu tiririkaConnectionView attachment 1191259
Voda anaunga pia?Hicho kifurushi kipo kwenye menyu ya kawaida tu *147*00# then saizi yako.....ni tsh 10000 sasa kama hauna kwenye saizi yako kuna mtu anaunga ila bei inaongezeka kidogo......kama unahitaji utaniambia nikuunganishe naye mkuuView attachment 1191293
Voda hakuna MkuuVoda anaunga pia?
Royal wajinga sana wale hafu kina affect hata ukiungia juu kifurushi kingine kinakua na speed ndogo vilevileUkimaliza hizo mb wanadrop speed Hadi around 60KBps Kisha unatumia unlimited internet.
Sema mkuu ukijua kwa kupata content zake sio kifurushi kibaya, natumia na Netflix nacheki movie na series vizuri tu, YouTube, browse za Hapa na pale etc. Na line ya royal siungi kitu chochote kwa Sasa sababu hio ya kuambukizwa speed.Royal wajinga sana wale hafu kina affect hata ukiungia juu kifurushi kingine kinakua na speed ndogo vilevile
wanauza bei gani hizo laini?Halotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.
Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.
Bure unaenda tu kubadili.wanauza bei gani hizo laini?
hicho cha wiki kinanivutia
poa mkuuBure unaenda tu kubadili.
Ngoja nipaki voda kwa muda...4G yao ipo nchi nzima.Halotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.
Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.
Maeneo mengi watu wanasema ipo, sema band Yao Ina tatizo la signal si kubwa Sana. Jaribu kwenda kwenye ofisi zao za karibu.Ngoja nipaki voda kwa muda...4G yao ipo nchi nzima.
*149*81# chagua 4.Mabaharia wa Airtel naombeni mwongozo kifurushi safi cha intaneti walau cha kuanzia wiki 1 kwenda mbele