jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 992
- 1,412
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Sio vibaya kuwataja majina ili tuomboleze hii misiba!! Iringa askari wanapotea kimaajabu ajabu sana!! Msiba wa Afande Kakamba ulinisikitisha sana!!!